Instagram Yathibitisha Majaribio ya Kipengele Kipya cha Repost
Kampuni ya Instagram imethibitisha kuwa ipo katika hatua za majaribio ya kipengele kipya kitakachowaruhusu watumiaji wake kushiriki tena (repost) machapisho ya wengine moja kwa moja kwenye wasifu wao. Katika taarifa rasmi, Instagram ilieleza kuwa kipengele hiki kinachojaribiwa kwa sasa na watumiaji wachache kinalenga kurahisisha usambazaji wa maudhui, bila kuhitaji kutumia mbinu za ziada kama screenshot […]
Read More