Jovial Aonya Wasichana Kuhusu Safari ya Uzazi

Jovial Aonya Wasichana Kuhusu Safari ya Uzazi

Nyota wa muziki kutoka Kenya, Jovial, amewapa changamoto mabinti wenye mioyo dhaifu kufikiria mara mbili kabla ya kuingia kwenye safari ya ujauzito na kujifungua. Kupitia Instastory, Jovial amefunguka kuhusu changamoto ambazo amekutana nazo wakati wa ujauzito na hata baada ya kujifungua, akisema kuwa ni safari yenye kuhitaji nguvu za mwili na akili. Amesema amekosa usingizi […]

Read More
 Jovial Afunguka Sababu ya Kutoanika Mtoto Wake Mitandaoni

Jovial Afunguka Sababu ya Kutoanika Mtoto Wake Mitandaoni

Mwanamuziki maarufu wa Kenya, Jovial, amefunguka kuhusu uamuzi wake wa kutoweka sura au jina la mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia ukurasa wake wa Instastori, Jovial alisema kuwa hatua hiyo ni njia yake ya kumlinda mtoto wake dhidi ya madhara ya maneno na mitazamo hasi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Alisisitiza kuwa, kama mzazi, […]

Read More
 Jovial Atangaza Mapumziko ya Mitandao Baada ya Kujifungua

Jovial Atangaza Mapumziko ya Mitandao Baada ya Kujifungua

Mwanamuziki nyota wa Kenya, Jovial, ametangaza kuwa atachukua mapumziko kwenye mitandao ya kijamii baada ya kujifungua mtoto wake. Kupitia taarifa kwa mashabiki wake, msanii huyo amesema ataepuka shughuli za mitandaoni kwa muda ili kufurahia muda wa faragha na mtoto wake mchanga. Amesisitiza kuwa muda huu utamwezesha kujiweka sawa kimwili na kiakili kwa utulivu. Hata hivyo, […]

Read More
 Msanii Jovial Afunguka Kuhusu Safari Yake ya Ujauzito

Msanii Jovial Afunguka Kuhusu Safari Yake ya Ujauzito

Mwanamuziki maarufu wa Kenya, Jovial, ameweka wazi safari yake ya ujauzito ambayo anaiita kuwa mojawapo ya vipindi vigumu zaidi katika maisha yake ya hivi karibuni. Kupitia ujumbe aliouweka kwenye mitandao ya kijamii, Jovial ameeleza jinsi hali ya ujauzito ilivyomchosha na kumrudisha nyuma kiafya na kisaikolojia. Amesema wazi kuwa trimester ya kwanza (miezi mitatu ya mwanzo) […]

Read More
 Msanii Jovial Atangaza Ujauzito Kupitia Wimbo Mpya “Chibaby”

Msanii Jovial Atangaza Ujauzito Kupitia Wimbo Mpya “Chibaby”

Msanii maarufu wa muziki wa Kenya, Jovial, ametangaza rasmi kuwa anatarajia mtoto na mchumba wake, Mike, kupitia wimbo wake mpya unaoitwa “Chibaby”, ambao tayari umeanza kuvuma mitandaoni. Taarifa hiyo ya kufurahisha ilifichuliwa kupitia video ya kipekee aliyopakia kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo alionekana akiwa mwenye furaha tele, akicheza na kuimba kwa bashasha huku akionyesha […]

Read More
 Wanaume wengi nchini Kenya wanaogopa ndoa – Jovial

Wanaume wengi nchini Kenya wanaogopa ndoa – Jovial

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Jovial amedai kwamba wanaume wengi siku hizi wanaogopa kuingia kwenye ndoa. Kupitia instastory yake ameandika ujumbe mrefu akisema kuwa wanaume wengi nchini wana afadhilisha kuzaa kwanza na wapenzi wao kabla ya kuhalalisha mahusiano yao kwa njia ya harusi. Msanii huyo anahoji kuwa wanaume wa karne hii hawaaminiki katika kuingia kwenye mahusiano […]

Read More
 Jovial adokeza ujio wa EP yake mpya

Jovial adokeza ujio wa EP yake mpya

Mwimbaji nyota nchini, Jovial amethibitisha rasmi ujio wa EP yake mpya na ya kwanza katika safari yake ya muziki. Kupitia Instastory yake ameweka wazi mpango wake huo huku akisema kuwa amekamilisha mchakato wa kuiandaa EP hiyo. Lakini pia ameeleza kwamba, wimbo wa kwanza kutoka kwenye EP yake itaingia sokoni wiki mbili zijazo. Hata hivyo mrembo […]

Read More
 Jovial atoa somo kwa wafanyibiashara wanaotumia picha za mastaa bila idhini yao

Jovial atoa somo kwa wafanyibiashara wanaotumia picha za mastaa bila idhini yao

Msanii nyota nchini Jovial ameshindwa kuwavumilia wafanyibiashara wanaotumia picha za mastaa kwenye matangazo bila ridhaa yao. Kupitia insta story kwenye mtandao wa Instagram mkali huyo wa sauti amewapa somo wafanyibiashara sampuli hiyo kwa kuwaita wabahili wa kutoa michongo kwa wasanii licha ya kuwa wanalipwa mkwanja mrefu na makampuni tofauti kufanikisha shughuli hiyo. Hitmaker huyo wa […]

Read More
 Jovial akanusha uvumi wa kutoka kimapenzi na Willy Paul

Jovial akanusha uvumi wa kutoka kimapenzi na Willy Paul

Msanii wa kikw kutoka Kenya Jovial  kwa mara ya kwanza amevunja kimya chake kuhusu uvumi wa kutoka kimapenzi na msanii mwenzake Willy Paul. Akimjibu shabiki kupitia ukurasa wake wa Facebook, Jovial ameweka wazi kuwa Pozee sio mpenzi wake kama watu wanavyodai mitandaoni huku akisisitiza kuwa uhusiano wake na bosi huyo wa saldido ulikuwa wa kikazi […]

Read More
 Jovial akiri kukosa usingizi kisa kutongozwa na wanaume nyakati za usiku

Jovial akiri kukosa usingizi kisa kutongozwa na wanaume nyakati za usiku

Msanii nyota nchini Jovial amechukizwa na kitendo cha mwanaume mmoja kumkosesha amani nyakati za usiku kwa kumtaka kimapenzi. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram amesema mwanaume huyo ambaye kipindi cha nyuma aliagiza chakula kutoka kwake, amegeuka kuwa kero kwake kwa kumpigia simu kila mara jambo ambalo amedai limemkosesha usingizi. Hitmaker huyo wa “Mi Amor” […]

Read More
 Penzi la Willy Paul lampa Jovial umaarufu mtandaoni

Penzi la Willy Paul lampa Jovial umaarufu mtandaoni

Msanii nyota nchini Jovial amekiri kupata mashabiki wengi wanaofuatilia kazi zake tangu atangaze kuingia kwenye mahusiano na Willy Paul. Kupitia insta story mrembo huyo ameshindwa kuficha furaha yake kwa kusema kwa kipindi chote cha maisha ya muziki hajawahi pata idadi kubwa ya watu wanaotazama nyimbo zake pamoja na kutembelea mitandao yake ya kijamii licha ya […]

Read More