Vdeo ya wimbo wa Willy Paul “Lalala” yafutwa Youtube

Vdeo ya wimbo wa Willy Paul “Lalala” yafutwa Youtube

Video ya wimbo wa Willy Paul ‘Lalala ambao amemshirikisha Jovial imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kutokana na malalamiko ya hakimiliki. Kwa sasa video hiyo ambayo ilikuwa na zaidi ya view laki 3 haipatikani kwenye mtandao huo kufuatia malalamiko ya hakimiliki kutoka kwa King Jones Official. Hata hivyo Willy Paul hajatoa tamko lolote kuhusu kufutwa kwa […]

Read More
 ERIC OMONDI AKOSHWA NA MATUKIO YA WILLY PAUL NA JOVIAL, ATAKA WASANII WAFUATE NYAYO ZAO

ERIC OMONDI AKOSHWA NA MATUKIO YA WILLY PAUL NA JOVIAL, ATAKA WASANII WAFUATE NYAYO ZAO

Mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi amekoshwa na kile kinachoendelea mtandaoni kati ya msanii Willy Paul na Jovial. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omondi amewapongeza wawili hao kwa hatua ya kuhalalisha mahusiano mtandaoni kitendo ambacho amehoji ni ubunifu wa hali ya juu wa kutengeneza matukio yatakayowasaidia kutangaza muziki wao mtandaoni. Mchekeshaji huyo ambaye kwa muda mrefu […]

Read More
 JOVIAL AWAJIBU WANAOMTAKA KUTOA MSAADA KWA JAMII

JOVIAL AWAJIBU WANAOMTAKA KUTOA MSAADA KWA JAMII

Mkali wa sauti na maandishi ya muziki, Jovial, amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaomshinikiza kutoa misaada kwa watu wenye uhitaji kwenye jamii. Kupitia instastory yake, Hitmaker huyo wa ‘Mi Amor’ amefichua kwamba amekuwa akipokea jumbe nyingi (DM) kutoka kwa mashabiki, wakihoji kwa nini hawasaidii watu wenye uhitaji na wasanii chipukizi wakati ana mafanikio makubwa kwenye […]

Read More
 JOVIAL ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA EP YAKE MPYA

JOVIAL ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA EP YAKE MPYA

Staa wa muziki nchini Jovial kwa mara ya kwanza ametusanua kuhusu maendeleo ya EP yake mpya ambayo itaingia sokoni ndani ya mwaka huu. Kupitia Inststory yake kwenye mtandao wa Instagram yake Jovial amethibitisha kukamilika kwa EP hiyo ambayo amedai kuwa ni ya kitofauti kwa sababu imebeba nyimbo ambazo ameimba kwenye mitindo mbali mbali. Hitmaker huyo […]

Read More
 JOVIAL ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

JOVIAL ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Msanii nyota nchini Jovial amedokeza ujio wa EP yake mpya ambayo itaiachia ndani ya mwaka huu wa 2022. Katika mahojiano na Mungai Eve, Jovial amesema kwa sasa yupo chimbo anaanda EP mpya ambayo amedai kuwa itakuwa na ladha ya kitofauti sana kutokana na wasanii atakaowashirikisha kwenye kazi hiyo. Licha ya kutoweka wazi idadi ya ngoma […]

Read More
 JOVIAL AWACHANA WANAOKOSOA KWA KUCHEZA KIMAHABA NA RASHID ABDALLA

JOVIAL AWACHANA WANAOKOSOA KWA KUCHEZA KIMAHABA NA RASHID ABDALLA

Msanii wa kike nchini Jovial amewatolea uvivu wanaomkosoa kwa kucheza kimahaba na Rashid Abdalla ambaye ni mume wa mwanahabari maarufu nchini Lulu Hassana kwenye birthday yake juzi kati. Kupitia instastory kwenye mtandao wa Instagram Jovial amesema ameshangazwa na hatua ya wanawake kumshambulia mitandaoni kwa kitendo cha kucheza kimahaba na rashid abdalla huku akisema jambo hilo […]

Read More
 JOVIAL AKOSESHWA AMANI NA SHABIKI KISA MAPENZI

JOVIAL AKOSESHWA AMANI NA SHABIKI KISA MAPENZI

Staa wa muziki nchini Jovial ameshindwa kumvumilia shabiki yake mmoja ambaye amemkosesha amani kwa kudai kuwa ana mapenzi dhati kwake. Kupitia instastory kwenye mtandao wa instagram jovial amesema shabiki huyo ameenda mbali zaidi na kuanza kuwalipa watu kumfuatilia sehemu anayoishi na maeneo anayotembea. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Pita Nawe Remix” amesema amejaribu kumu-block mtu […]

Read More
 JOVIAL ATOA ONYO ANGALIZO KWA MASHABIKI ZAKE

JOVIAL ATOA ONYO ANGALIZO KWA MASHABIKI ZAKE

Msanii kike nchini Jovial ametoa onyo kwa mashabiki zake ambao kwa njia moja au nyingine wana mpango wa kumdhalalisha kijinsia akiwa jukwaani. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram msanii huyo amesema kuanzia sasa atakuwa anapambana moja kwa moja na shabiki atakayejaribu kumshika vibaya akiwa jukwaani anatambuiza huku akisisitiza kuwa atamshushia kichapo kabla walinzi wake […]

Read More
 JOVIAL AKIRI KUTOMSAMEHE MWANAUME ANAYEMKIMBIA MKE WAKE AKIWA MJA MZITO

JOVIAL AKIRI KUTOMSAMEHE MWANAUME ANAYEMKIMBIA MKE WAKE AKIWA MJA MZITO

Female singer kutoka Kenya Jovial amefunguka na kudai kwamba hatokuja kumsamehe mwanaume yeyote anayemtelekeza mwanamke akiwa mja mzito kwani ujauzito ni kama ugonjwa. Kupitia Whatsapp Story yake Hitmaker huyo wa ngoma ya “Pita Nawe” ameandika ujumbe unaosomeka “Siwezi msamehe mwanaume anayemtelekeza mwanamke mjamzito mimba ni kama ungojwa asikuambie mtu unahitaji upendo wote mshukuru Mungu “ […]

Read More
 JOVIAL AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA DJ SAMI FLINCH

JOVIAL AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA DJ SAMI FLINCH

Female singer kutoka Kenya Jovial amekanusha madai yanayotembea mtandaoni kuwa anatoka kimapenzi na DJ maarufu nchini Sami Flinch. Katika kikao cha maswali na mashabiki zake kwenye mtandao wa Instagram Jovial amesema madai hayo hayana msingi wowote huku akisema ukaribu wao ulitokana na shughuli za kikazi ambazo walikuwa nayo kipindi cha nyuma. Hitmaker huyo wa ngoma […]

Read More