Msanii Jux Anyakua Tena Tuzo ya Jayli Nchini Ivory Coast

Msanii Jux Anyakua Tena Tuzo ya Jayli Nchini Ivory Coast

Msanii nyota wa Bongofleva, Juma Jux, ameendelea kudhihirisha ukubwa na ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki baada ya kutwaa kwa mara ya pili tuzo ya Jayli Awards nchini Ivory Coast. Kupitia mitandao ya kijamii, Jux ameonesha kufurahishwa na kutuzwa kama Msanii Bora wa Afrika Mashariki wa Mwaka, akitoa shukrani kwa waandaaji wa tuzo hizo […]

Read More
 Juma Jux na Mkewe Priscilla Wadokeza Mpango wa Kuhamia Kenya

Juma Jux na Mkewe Priscilla Wadokeza Mpango wa Kuhamia Kenya

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux na mkewe kutoka Nigeria, Priscilla Ojo,wameibua msisimko mkubwa mtandaoni baada ya kudokeza mipango yao ya kuhamia nchini Kenya na kununua makazi mapya. Tetesi za wawili hao kuhama zilianza kusambaa baada ya kushiriki picha zenye mvuto na video fupi wakiwasili kwenye jumba la kifahari jijini Nairobi. Kitendo hicho […]

Read More
 Juma Jux Ampongeza Diamond kwa Kufungua Milango ya Kimataifa kwa Wasanii wa Bongo

Juma Jux Ampongeza Diamond kwa Kufungua Milango ya Kimataifa kwa Wasanii wa Bongo

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux, amempongeza Diamond Platnumz kwa mchango wake mkubwa katika kufungua njia za kimataifa kwa wasanii wa Tanzania. Akizungumza katika mahojiano na El Mando TZ, Jux amesema kuwa Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kupitia matamasha yake makubwa aliyoandaa nchini Uingereza, ikiwemo London, Manchester na Glasgow mwezi Julai, ambayo yalitoa […]

Read More
 Juma Jux kuzindua Album yake mpya Desemba 7 mwaka huu

Juma Jux kuzindua Album yake mpya Desemba 7 mwaka huu

Mwimbaji nyota wa BongoFleva Juma Jux ametangaza kusogeza mbele uzinduzi wa album yake mpya King Of Hearts ambapo sasa uzinduzi huo utafanyika Disemba 7. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jux ameeleza kwamba amefikia maamuzi hayo ili kuhakikisha wasanii wote walioshiriki kwenye album yake wana perform siku ya uzinduzi ndani ya ‘The Super Dome’ Masaki, […]

Read More