Rapa Kanye West aripotiwa kutoonekana kwa wiki kadhaa

Rapa Kanye West aripotiwa kutoonekana kwa wiki kadhaa

Rapa Kanye West ameripotiwa kutoonekana kwa wiki kadhaa na hata kwenye mawasiliano yake hapatikani. Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama zilizodakwa na Radaronline.com, meneja wake wa zamani, Thomas St. John amenukuliwa akisema kuwa amepata shida ya kumtafuta rapa huyo kwa kipindi cha wiki mbili sasa . Kwa mujibu wa mtando wa TMZ, vyanzo vya karibu […]

Read More
 Kim Kardashian akiri kupata ugumu kulea watoto na Kanye West

Kim Kardashian akiri kupata ugumu kulea watoto na Kanye West

Rapa Kanye West anampa wakati mgumu sana Baby Mama wake Kim Kardashian hasa kwenye malezi ya watoto wao baada ya kuachana. Kwenye mahojiano na Podcast ya Mtangazaji Angie Martinez, Kim amesema kushiriki kwenye suala la malezi na YE ni jambo gumu sana. “It’s hard. Co-parenting, it’s really fu**ing hard.”, Alisema kwa masikitiko. Aidha Kim Kardashian […]

Read More
 Kanye West amfukuza kazi mfanyakazi wake kisa Drake

Kanye West amfukuza kazi mfanyakazi wake kisa Drake

Rapa Kanye West ameripotiwa kumfukuza kazi mfanyakazi wake kwenye kampuni ya Yeezy kufuatia kupiga wimbo wa Drake ofisini. Hii ni kwa mujibu wa Rolling Stone. Utakumbuka juzi kati Drake alitapika nyongo kwenye “Circo Loco” ngoma ambayo inapatikana kwenye Album ya pamoja na 21 Savage, Her Loss. Drizzy alifunguka ya moyoni kwamba aliamua kupatana na Kanye […]

Read More
 Kanye West ashtakiwa kwa wizi wa wimbo

Kanye West ashtakiwa kwa wizi wa wimbo

Watu hawampumzishi Rapa KanyeWest kila siku wanampa msala mpya, Kampuni inayosimamia Kazi za B-Boy Records imedai kuwa Kanye West ameiba wimbo wa Boogie Down Productions wimbo unaitwa South Bronx ambao ulitoka Mwaka 1987. Kanye West anadaiwa kuiba wimbo huo na kutumia kwenye Wimbo wake wa Life Of The Party aliomshirikisha Andre 3000 Unaopatikana kwenye Album […]

Read More
 Adidas kuendelea kuuza bidhaa za Yeezy

Adidas kuendelea kuuza bidhaa za Yeezy

Kampuni ya mitindo na mavazi Adidas imetangaza kuendelea kuuza bidhaa za rapa Kanye West “Yeezy” bila kutumia jina hilo. Siku ya jana kampuni hio ilitangaza kuachana rasmi na rapa huyo, baada ya kauli zake za chuki dhidi ya watu wa jamii ya kiyahudi. “Bidhaa zote za Yeezy zitauzwa chini ya jina la Adidas na zitatambulika […]

Read More
 Kanye West aondolewa kwenye orodha ya mabilionea

Kanye West aondolewa kwenye orodha ya mabilionea

Muda mfupi baada ya kampuni ya Adidas kutangaza kuachana na rapa Kanye West, jarida la Forbes limeibuka na kutangaza kuwa rapa huyo ameondelewa rasmi kwenye orodha ya mabilionea kutokana na thamani yake ‘net worth’ kushuka. Kanye West amejikuta akiingia katika wakati mgumu baada ya kutoa kauli za chuki dhidi ya jamii ya watu wa kiyahudi […]

Read More
 Adidas yavunja mkataba na Kanye West

Adidas yavunja mkataba na Kanye West

Kampuni ya Adidas imeripotiwa kuvunja uhusiano wake wa kibiashara na Kanye West kufuatia kauli yake ya chuki dhidi ya Jamii ya Wayahudi. “Kampuni ya Adidas haivumilii hata kidogo maneno ya chuki na hatarishi kwa Umma yaliyotolewa na Kanye West. Kampuni imeamua kuvunja mkataba na Kanye West pamoja na kusitisha bidhaa zote zilizokuwa na ushirikiano pamoja […]

Read More
 Kim Kardashian akasirishwa na kauli za Kanye West

Kim Kardashian akasirishwa na kauli za Kanye West

Mwanamitindo na aliyekuwa mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian ameonyesha kukasirishwa na kauli za aliyekuwa mume wake kuhusiana na tuhuma alizozitoa juu ya watu wenye asili ya kiyahudi. Kupitia ukurasa wake wa twitter Kim Krdashian ameandika “Hotuba ya chuki siyo sawa au yenye udhuru, Nasimama pamoja na jamii ya watu wa kiyahudi na naomba […]

Read More