KIM KARDASHIAN NA HOFU JUU YA ‘SEX TAPE’ YAKE NYINGINE KUVUJA
Staa wa vipindi vya Tv na mwanamitindo Kim Kardashian, ameripotiwa kuajiri wakili mwingine ili kumzuia Ray J ambaye ni mpenzi wake wa zamani asivujishe mkanda wake mwingine wa ngono. Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Kim Kardashian amewaita mawakili wafanye jitihada za kuzuia kanda nyingine ya ngono kuwekwa hadharani. Kim anahofia Ray J ambaye […]
Read More