Rapa King Kaka Aachia Wimbo ‘Baba’ Kumuenzi Raila Odinga
Rapa wa Kenya King Kaka amejiunga na wasanii wengine katika kumuomboleza na kumuenzi hayati Raila Odinga kwa kuachia wimbo mpya uitwao “Baba.” Kupitia wimbo huo, King Kaka ameelezea heshima na upendo wake kwa kiongozi huyo mkongwe wa siasa, akisisitiza mchango wake mkubwa katika kupigania haki, demokrasia na umoja wa taifa. King Kaka anajiunga na wasanii […]
Read More