KING KAKA AMJENGEA MAMA YAKE MZAZI MJENGO WA KIFAHARI

KING KAKA AMJENGEA MAMA YAKE MZAZI MJENGO WA KIFAHARI

Rapa wa Kenya King Kaka anazidi Kujipakulia Baraka Za Wazazi wake,hii ni baada ya kumjengea mamake mzazi mjengo wa kifahari. Kusindikiza taarifa hiyo, King Kaka amesimulia kisa kimoja ambacho kilimsukuma kutafuta hela ili kuja kumsaidia mama yake. “Siku moja nilifika nyumbani nikitoka shule, Askari wa Jiji alikuwa alikuwa ameweka kufuli kubwa sana mlangoni kwetu kwa sababu tulishindwa […]

Read More
 KING KAKA ATANGAZA UJIO WA ZIARA YAKE YA MUZIKI NCHINI MAREKANI

KING KAKA ATANGAZA UJIO WA ZIARA YAKE YA MUZIKI NCHINI MAREKANI

Rapa King Kaka ametangaza ujio wa ziara yake ya muziki  nchini marekani  kwa kuanika mkeka wa miji ambayo atafanya shows zake. Kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram king kaka, ameipa ziara hiyo jina la  Coast To Coast Summer 2022  USA  Tour ambapo amesema itafanyika ndani ya miji 13. Ziara hiyo ambayo anafanya kwa ushirikiano na Rarequest Music Group inatarajiwa kuzunguka kwenye miji mbalimbali nchini Marekani […]

Read More
 KING KAKA ATANGAZA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

KING KAKA ATANGAZA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

Rapper kutoka Nchini Kenya King Kaka ametusanua kuwa album yake mpya imekamilika. Mkali huyo wa ngoma ya “Fight” ameweka wazi hilo kwenye podcast ya jalang’o tv huku akiwataka Mashabiki zake wakae Mkao Wa Kuipokea Album Yake Mpya Itakayoingia Sokoni Hivi Karibuni. Hata hivyo King Kaka hajatuambia idadi ya ngoma zitakazopatikana kwenye album hiyo wala tarehe rasmi ya album yenyewe kuingia sokoni […]

Read More
 KING KAKA ALAMBA SHAVU YA UBALOZI ITEL KENYA

KING KAKA ALAMBA SHAVU YA UBALOZI ITEL KENYA

Rapa King Kaka amelamba dili nono la kuwa balozi wa kampuni ya Simu ya Itel kwa upande wa Kenya. King Kaka ametangaza habari njema kwa wafuasi wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kusema kwamba ana furaha kubwa kujiunga na familia ya Itel inayojishughulisha na  uzalishaji na usambazaji wa simu na vifaa vingine vya kielectroniki “Mabibi na […]

Read More
 KING KAKA ATANGAZA KUIHAMA MAN UNITED NA KWENDA ARSENAL

KING KAKA ATANGAZA KUIHAMA MAN UNITED NA KWENDA ARSENAL

Rapa kutoka nchini Kenya, King Kaka ametangaza rasmi kuwa kuanzia sasa atakuwa anashabikia timu ya Arsenal baada ya kuachana na Manchester United. King Kaka ambaye kwa miaka mingi amekuwa akishabikia Manchester United ameeleza kutoridhishwa kwake na matokeo ya timu hiyo kwa michezo ya hivi karibuni. “Nadhani ni wakati sahihi nianze kutafuta raha kwingineko, ni rasmi […]

Read More