Kizz Daniel Avunja Ukimya Baada ya Vurugu Kwenye Show Yake Paris

Kizz Daniel Avunja Ukimya Baada ya Vurugu Kwenye Show Yake Paris

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Kizz Daniel, amevunja ukimya kufuatia madai ya kuchelewa kufika kwenye onyesho lake lililofanyika jijini Paris, Ufaransa, jana, hatua iliyosababisha vurugu kati ya mashabiki na waandaaji wa tamasha hilo. Kupitia Insta story yake, Kizz Daniel amekanusha madai kuwa yeye ndiye chanzo cha kuchelewa, akieleza kuwa tatizo lilitokana na mgogoro wa kibiashara […]

Read More
 DAVIDO NA KIZZ DANIEL MBIONI KUACHIA EP YA PAMOJA

DAVIDO NA KIZZ DANIEL MBIONI KUACHIA EP YA PAMOJA

Mastaa kutoka Nigeria Davido na Kizz Daniel wamewadokezea mashabiki wa muziki wao juu ya ujio wa EP ya pamoja. Kupitia twitter wamethibitisha taarifa hiyo huku Davido akitamba kwamba EP hiyo itauza nakala milioni kwenye wiki ya kwanza. “Nani yuko tayari kwa ajili ya Ep ya 0.B.O X KIZZ?? Tutauza zaidi ya Milioni 1 katika wiki […]

Read More