Lulu Diva Akanusha Taarifa za Kumnyang’anya Wema Sepetu Mume Wake Whozu
Msanii wa Bongo Fleva Lulu Diva ameweka wazi msimamo wake na kukanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa alimnyang’anya Wema Sepetu mume wake, msanii Whozu. Kupitia waraka mrefu aliouandika Instagram, Lulu Diva amefafanua kuwa Whozu ni rafiki yake wa muda mrefu, na urafiki wao ulianza siku nyingi kabla hata ya Whozu kuanza mahusiano na Wema […]
Read More