Manchester United Yaichakaza Manchester City Old Trafford

Manchester United Yaichakaza Manchester City Old Trafford

Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2–0 dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Manchester City, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) uliopigwa uwanjani Old Trafford. Mchezo ulianza kwa kasi huku pande zote zikionesha nia ya kutafuta ushindi. Manchester City ilijaribu kutumia umiliki wa mpira na mashambulizi ya haraka, lakini ngome ya United […]

Read More
 Tottenham Wabeba Taji la Europa League Baada ya Miaka 17

Tottenham Wabeba Taji la Europa League Baada ya Miaka 17

Tottenham Hotspur wamehitimisha ukame wa mataji uliodumu kwa miaka 17 kwa kutwaa ubingwa wa UEFA Europa League, baada ya kuifunga Manchester United 1-0 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa San Mamés, Bilbao, Hispania. Bao pekee la mchezo lilifungwa dakika ya 42 na Brennan Johnson, baada ya mpira kuguswa kwa bahati mbaya na beki wa United, […]

Read More
 Msanii wa Gengetone Parroty Aahidi Kunyoa Rasta Zake Iwapo Man U Itapigwa Usiku wa Leo

Msanii wa Gengetone Parroty Aahidi Kunyoa Rasta Zake Iwapo Man U Itapigwa Usiku wa Leo

Msanii maarufu wa Gengetone, Parroty, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutoa ahadi ya kushangaza kupitia Instagram Live yake. Parroty alisema kuwa yuko tayari kunyoa dreadlocks zake alizozilea kwa miaka tisa endapo timu yake pendwa, Manchester United, itashindwa na Tottenham Hotspur katika mechi ya leo usiku. Kupitia matangazo ya moja kwa moja, Parroty alionekana kuwa na […]

Read More
 Manchester United yatangaza kumaliza na Cristiano Ronaldo

Manchester United yatangaza kumaliza na Cristiano Ronaldo

Klabu ya Manchester United imetangaza kumalizana na nyota wake Cristiano Ronaldo. Man United imetoa taarifa rasmi usiku huu kwamba, pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na nyota huyo anatakiwa kuondoka haraka iwezekanavyo. Ronaldo anaondoka Man United kufuatia mahojiano yake na Piers Morgan ambayo yaliishambulia Klabu pamoja na menejimenti. Kwenye tamko lake la mwisho, […]

Read More