Marioo aachia rasmi Tracklist ya Album yake mpya

Marioo aachia rasmi Tracklist ya Album yake mpya

Mkali wa Bongo Fleva Marioo ameachia Tracklist ya Album yake mpya The Kid You Know ambayo itatoka rasmi Disemba 9 mwaka huu. Album hiyo ya kwanza kwa Marioo, ina jumla ya mikwaju 17 huku ndani akiwashirikisha wakali kama Ali Kiba, Harmonize, Rayvanny, Jux, Ladipoe na wengine wengi. Ikumbukwe, hii inakuwa ni album ya kwanza kwa Marioo […]

Read More
 MAPANCH NA MARIOO WATUPIANA LAWAMA KUHUSU WIMBO WA “MY LOVE”

MAPANCH NA MARIOO WATUPIANA LAWAMA KUHUSU WIMBO WA “MY LOVE”

Agosti 10, msanii wa Bongfleva Mapanch aliachia video ya ngoma yake My Love aliyomshirikisha Marioo. Hata hivyo takriban siku nne baadaye, video hiyo iliondolewa youtube. Mapanch anadai aliyeiondoa ni Marioo ambaye alituma malalamiko ya hakimiliki. Msanii huyo amesema amechukizwa na kitendo hicho kwa kueleza kuwa Marioo ni mnafiki na mbaya zaidi ni yeye ndiye aliyetaka […]

Read More
 MARIOO AFIKISHA VIEWS MILLIONI 100 YOUTUE

MARIOO AFIKISHA VIEWS MILLIONI 100 YOUTUE

Kuizuia nyota ya Marioo ni sawa na kuziba mwanga kwa kiganja cha mkono. Nyota huyo  kutoka Tanzania anaendelea kugonga vichwa vya habari na mara hii ni kuhusiana na idadi ya views youtube. Good news kwa mashabiki wa mkali huyo ni kwamba amefikisha watu Milioni 100 waliotazama kazi zake mbalimbali katika channel yake ya mtandao wa […]

Read More
 MARIOO AWAPA SOMO WASANII CHIPUKIZI

MARIOO AWAPA SOMO WASANII CHIPUKIZI

Staa wa Muziki wa Bongofleva Marioo ambaye kwa sasa anafanya poa na singo yake “Mi Amor” ameamua kutoa somo kwa wasanii chipukizi. Kupitia Instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Marioo amewaambia wasanii hao kuwa wanapohitaji kutoa wimbo wahakikishe wimbo husika unakuwa mkali kuliko nyimbo zilizopo masikioni mwa watu. Mbali na hayo, ameendelea kutusanua kuhusu ujio […]

Read More
 NIKKI MBISHI:  MARIOO ALISTAHILI KUPEWA MIRABAHA NA COSOTA KUTOKA KAZI ZAKE KUPIGWA SANA KWENYE MEDIA

NIKKI MBISHI: MARIOO ALISTAHILI KUPEWA MIRABAHA NA COSOTA KUTOKA KAZI ZAKE KUPIGWA SANA KWENYE MEDIA

Rapa kutoka nchini Tanzania Nikki Mbishi amesema Marioo kupitia wimbo wake “BIA TAMU” alistahili kuwa namba moja kwenye orodha ya wasanii ambao wamepata gawio la mirabaha kutoka Chama cha Hatimiliki Tanzania – COSOTA. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Nikki mbishi amesema wimbo wa Bia Tamu umepigwa kuliko wimbo wowote nchini Tanzania katika kipindi cha miezi […]

Read More
 FOBY AUPONDA UWEZO WA MARIOO KWENYE MUZIKI WA BONGOFLEVA

FOBY AUPONDA UWEZO WA MARIOO KWENYE MUZIKI WA BONGOFLEVA

Msanii wa Bongofleva Foby amefunguka kuwa mkali wa ngoma ya “Beer tamu” Marioo hawezi kuvikwa taji la Ufalme wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kupitia mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni, mwanamuziki huyo amedai kwamba Marioo hawezi kuwa mfalme wa muziki wa Bongofleva ikiwa anaimba muziki wa Amapiano, kwani mfalme anatakiwa kukuza na kufanya mziki wao […]

Read More
 BAHATI ATUHUMIWA KUIBA IDEA YA WIMBO WA JE UNANIFIKIRIA KUTOKA KWA MARIOO

BAHATI ATUHUMIWA KUIBA IDEA YA WIMBO WA JE UNANIFIKIRIA KUTOKA KWA MARIOO

Mkali wa muziki nchini Bahati ameingia tena katika mijadala kwenye mitandao nchini  baada ya kudaiwa kuiba  idea ya wimbo wa  ‘For You’ wa msanii  wa Bongofleva Marioo Kulingana na ripoti inayosambaa mitandaoni, inadaiwa Bahati ametumia mdundo na ubunifu wa video wa wimbo huo kwenye wimbo wake mpya wa”Je unanifikiria”, hivyo kuibua maswali mengi miongoni mwa […]

Read More
 MARIOO MBIONI KUJA NA “I’AM MARIOO TOUR”

MARIOO MBIONI KUJA NA “I’AM MARIOO TOUR”

Hitmaker wa Beer Tamu, Marioo ametangaza ujio wa tour yake nchini Tanzania aliyoipa jina la “I’am Marioo tour.” Marioo ameweka wazi ujio wa tour yake hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwaachia mashabiki swali kupendekeza ni mkoa gani nchini Tanzania ambao asiache kukanyaga kwenye tour yake hiyo. Pamoja na kuweka wazi ujio wa tour […]

Read More