Mbosso Akanusha Vikali Kumkimbia Mkubwa Fella
Msanii wa nyota wa Bongo Flava, Mbosso, amekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni yanayodai kuwa amemkimbia meneja mkubwa Fella Sweet Fella katika kipindi ambacho meneja huyo anaumwa. Akizungumza kuhusu taarifa hizo, Mbosso amesema madai hayo si ya kweli, akiyataja kuwa ya kupotosha umma. Amesema amekuwa karibu na familia ya Mkubwa Fella, akiwatembelea mara kwa mara, pamoja […]
Read More