Mbosso Aachia EP Mpya Room Number 3

Mbosso Aachia EP Mpya Room Number 3

Staa wa Bongo Fleva Mbosso ameanza ukurasa mpya katika muziki wake kwa kuachia EP yake ya tatu iitwayo Room Number 3, miezi michache baada ya kuondoka kwenye lebo ya WCB Wasafi. EP hiyo, ambayo ina nyimbo 7 bila collabo yoyote, tayari imechukua nafasi ya kwanza kwenye majukwaa makubwa ya muziki kama Apple Music na Spotify, […]

Read More
 Mbosso anyosha maelezo kuhusu kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.

Mbosso anyosha maelezo kuhusu kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.

Msanii wa Bongo Fleva, Mbosso amefunguka kuhusu tatizo la ugonjwa wa moyo ambalo limemwandama tangu akiwa mtoto. Akizungumza katika mahojiano maalum Mbosso ambaye ni msanii wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) amesema kwamba ugonjwa huo unasababishwa na mafuta kuwa mengi kwenye mishipa ya damu ya kwenda kwenye moyo. Dalili alilozitaja za ugonjwa huo ni […]

Read More
 Mbosso afunguka sababu za kusitisha tour yake nchini Marekani

Mbosso afunguka sababu za kusitisha tour yake nchini Marekani

Nyota wa muziki wa Bongofleva, Mbosso ambaye kwa sasa anafanya vizuri na EP yake mpya, amesitisha ziara (tour) yake ya muziki nchini Marekani hadi tarehe mpya zitakapotangazwa tena. Marekani ambayo ilitarajiwa kuanza Novemba 25 mpaka Desemba 16, 2022. Kupitia instastory ya Mbosso metoa sababu za Kusitisha Ziara yake ya kwa kusema kuwa Daktari amemtaka kutokusafiri […]

Read More
 MBOSSO AFUNGUKA KUFANYA KAZI NA RAYVANNY

MBOSSO AFUNGUKA KUFANYA KAZI NA RAYVANNY

Hitmaker wa “Moyo”, Msanii Mbosso amefunguka uhusiano wake na Bosi wa Next Level Music Rayvanny. Katika mahojiano yake hivi karibuni Mbosso amesema licha ya Rayvanny kuondoka kwenye lebo ya WCB bado wana uwezo wa kufanya kazi pamoja kwani wao ni marafiki wakubwa. “Ni mwanangu, kwa hiyo inapokuja kazi ambayo natakiwa nifanye na Rayvanny lazima tufanye […]

Read More
 MBOSSO MUHANGA WA KAZI ZILIZOPOTEA KWA PRODYUZA MOCCO GENIUS

MBOSSO MUHANGA WA KAZI ZILIZOPOTEA KWA PRODYUZA MOCCO GENIUS

Mwanamuziki kutoka WCB Wasafi Mbosso amekuwa moja wahanga waliopoteza kazi zao za muziki kwa prodyuza wa muziki wa Bongofleva Mocco Genius . Prodyuza huyo ambaye ametengeneza mikwaju mingi iliyofanya vizuri zikiwemo nyimbo za Zuchu, ametangaza kupoteza data muhimu zenye kazi za wasanii tofauti tofauti zaidi ya 500, ambapo Mbosso kupitia post ya mtayarishaji huyo kwenye […]

Read More
 MASAUTI AFUNGUKA KUFUKUZWA NA PROMOTA JUKWAANI MOMBASA

MASAUTI AFUNGUKA KUFUKUZWA NA PROMOTA JUKWAANI MOMBASA

Staa wa muziki nchini Masauti amevunja kimya chake baada ya kudaiwa kuwa alifukuzwa jukwaani kwenye tamasha la muziki lilofanyika Mombasa wikiendi iliyopita. Kupitia waraka aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa instagram Masauti amesema masaibu yake yalitokana na promota wa tamasha hilo huku akiwataka mashabiki kutomulaumu mbosso kwani hakuwa mhusika mkuu wa show hiyo. “Sijataka kuongelea issue […]

Read More