Megan Thee Stallion Afunguliwa Kesi Mpya Mahakamani
Jaji katika Mahakama Kuu ya Los Angeles ameamuru kuwa rapa maarufu Megan Thee Stallion na kampuni yake ya usimamizi Roc Nation wakabiliane na kesi ya madai yaliyowasilishwa na mpiga picha wake wa zamani, Emilio Garcia. Mwezi Aprili 2024, Emilio Garcia alifungua kesi akidai kuwa alilazimika kushuhudia tendo la ngono lililotokea wakati Megan alikuwa kwenye ziara […]
Read More