Megan Thee Stallion avamiwa, wezi waondoka na mali ya mamilioni

Megan Thee Stallion avamiwa, wezi waondoka na mali ya mamilioni

Nyumba ya Rapa Megan Thee Stallion ya mjini Los Angeles, nchini Marekani imevamiwa na majambazi ambao walifanikiwa kuiba vitu vyenye thamani ya takribani shillingi millioni 36 za Kenya. Tovuti ya TMZ imeripoti kwamba watu wawili walionekana wakivunja milango na kuingia kwenye nyumba hiyo hadi chumbani ambapo waliiba vito vyake vya thamani na pesa taslimu. Wakati […]

Read More
 DAKTARI KWENYE KESI YA TORY LANEZ ATHIBITISHA MEGAN THEE STALLION KUKATWAA NA VIOO

DAKTARI KWENYE KESI YA TORY LANEZ ATHIBITISHA MEGAN THEE STALLION KUKATWAA NA VIOO

Daktari amethibitisha kwamba Megan Thee Stallion hakupigwa risasi mguuni kama anavyodai bali alikatwa na vioo kwenye tukio ambalo linamtaja Tory Lanez kumpiga risasi. Uchunguzi umebainisha kwamba baada ya kutokea vurugu baina ya washkaji ambao walikuwa pamoja nao kwenye gari, zilipigwa risasi kadhaa ambazo zilivunja vioo vya gari na wakati Megan Thee Stallion akijitahidi kutoka nje […]

Read More