PENZI LA MICHAEL B. JORDAN NA LORI HARVEY LAVUNJIKA

PENZI LA MICHAEL B. JORDAN NA LORI HARVEY LAVUNJIKA

Penzi la Muigizaji wa Filamu kutoka Marekani Michael B. Jordan na Lori Harvey limefikia mwisho. Wawili hao wameachana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa mwaka mmoja na nusu. Kwa mujibu wa Jarida la People, sababu ya kuachana kwao imeelezwa kuwa ni utofauti wa umri kati yao. Kupishana miaka 10 kumemfanya Michael B. Jordan (35) kuwa […]

Read More