MR. SEED AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UKARIBU WAKE NA BAHATI

MR. SEED AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UKARIBU WAKE NA BAHATI

Msanii nyota nchini Mr Seed amemuandika waraka mrefu msanii mwenzake Bahati baada ya hitmaker huyo wa ngoma ya Adhiambo kuweka wazi azma yake ya kuwania ubunge wa Mathare kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kupitia waraka huo ambao aliuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram Mr. Seed ameeleza namna alivyokula maisha ya taabu na bahati wakiwa […]

Read More
 MR SEED AMZAWADI MAMA YAKE MZAZI KIPANDE CHA ARDHI

MR SEED AMZAWADI MAMA YAKE MZAZI KIPANDE CHA ARDHI

Msanii nyota nchini Mr. Seed anazidi kujipakulia baraka ya wazazi wake mara baada ya kumzawadi mama yake mzazi kipande cha ardhi ambacho ana mpango wa kumjengea mjengo wa kifahari. Kupitia video aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa Instagram Bosi huyo wa lebo ya muziki ya Starborn Empire ametusanua kuwa shamba hilo aliyomnunulia mama yake lipo eneo […]

Read More