Mulamwah Aingilia Sakata la Ruth K na Mfanyikazi wake
Mchekeshaji kutoka Kenya, Mulamwah, amefunguka kuhusu sakata linaloendelea mitandaoni kati ya Baby Mama wake Ruth K na aliyekuwa mfanyikazi wake Ann Waithera ambapo inadaiwa mtoto wake alitumika kutengeneza maudhui mtandaoni. Kupitia Instagram, Mulamwah amesema kuwa mwanawe hapaswi kuingizwa kwenye drama za watu wazima.Amewaonya Baby Mama wake na mfanyikazi wake kuacha kabisa kumtumia mtoto wake kama […]
Read More