Mulamwah adokeza ujio wa mpya wa msanii wake Val Wambo

Mulamwah adokeza ujio wa mpya wa msanii wake Val Wambo

Mchekeshaji Kendrick Mulamwah ametangaza  ujio mpya wa msanii wake val wambo ambaye yupo chini ya lebo yake ya muziki ya Mulamwah Ent. Kwenye mahojiano na podcast ya VIncent Mboya, Mulamwah amesema msanii wake huyo kwa sasa yupo chimbo anaanda ep yake mpya, hivyo mashabiki zake watarajie muziki mzuri kutoka kwake. Mulamwah aidha amebainisha kuwa hana mpango wa kumsajili msanii […]

Read More
 MULAMWAH ATISHIA KUMSHTAKI BABY MAMA WAKE CAROL SONNIE

MULAMWAH ATISHIA KUMSHTAKI BABY MAMA WAKE CAROL SONNIE

Mchekeshaji Mulamwah ametishia kumchukulia hatua kali za kisheria Baby Mama wake Carol Sonnie kwa hatua ya kumtumia vibaya mtoto wao mtandaoni. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Mulamwah ametoa ya moyo kwa kusema kuwa amechukizwa na kitendo cha Baby mama wake huyo kumtumia mtoto wao kama kitega uchumi, jambo ambalo amedai kuwa si cha kingwana kwani […]

Read More
 CAROL SONIE AKANUSHA VIKALI KURUDIANA NA MULAMWAH

CAROL SONIE AKANUSHA VIKALI KURUDIANA NA MULAMWAH

Mpenzi wa zamani wa mchekeshaji Mulamwah, Carol Sonie amekanusha taarifa za kurudiana na mchekeshaji huyo. Hii ni baada ya Mulamwah kuposti video jana kupitia ukurasa wa Instagram na kuandika ujumbe ulioashiria kuwa wamerudiana jambo lilowaaminisha walimwengu wawili hao wamezika tofauti zao. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Sonie amesema madai ya mulamwah hayana msingi wowote huku […]

Read More
 CAROL SONNIE AMJIBU KIMAFUMBO BABY DADDY WAKE MULAMWAH

CAROL SONNIE AMJIBU KIMAFUMBO BABY DADDY WAKE MULAMWAH

Baby Mama wa mchekeshaji Mulamwah, Carrol Sonnie amefunguka kwa mara ya kwanza siku chache baada ya Mulamwah kuibua kashfa nzito dhidi yake. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe wa mafumbo ambao umetafsiriwa  na walimwengu kwenye mitandao ya kijamii kuwa inamlenga moja kwa moja mpenzi wake wa zamani mulamwah. “Wakati maisha inakupa sababu […]

Read More
 MULAMWAH AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YAKE YA MUZIKI

MULAMWAH AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YAKE YA MUZIKI

Mchekeshaji maarufu nchini Kendrick Mulamwah amemtambulisha rasmo msanii wake mpya kwenye lebo yake ya muziki ya Mulamwah Entertainment. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchekeshaji huyo amesema msanii wake anaitwa Ruth K ambapo amemshukuru kwa kuonyesha uvumilivu na bidii kabla ya lebo yake hajachukua hatua ya kusimamia shughuli zake za muziki. Mbali na hayo Mulamwah amekanusha […]

Read More
 MCHEKESHAJI KENDRICK MULAMWAH AGEUKIA MUZIKI WA HIPHOP

MCHEKESHAJI KENDRICK MULAMWAH AGEUKIA MUZIKI WA HIPHOP

Mchekeshaji maarufu nchini Kendrick Mulamwah ameamua kugeukia muziki wa Hiphop ikiwa ni katika kutimiza ndoto zake za kuwa rapa. Mulamwah ambaye ametamba kwenye fani ya ucheshi kwa miaka mingi ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza wenye mahadhi ya HipHop ambao kaupa jina la “The Recoil Freestyle”. Kuptia ngoma hiyo ambayo ni disstrack, mchekeshaji huyo amesikika […]

Read More
 BABY MAMA WA MULAMWAH CAROL SONNIE AWACHARUKIA WANAOMPONDA MTANDAONI

BABY MAMA WA MULAMWAH CAROL SONNIE AWACHARUKIA WANAOMPONDA MTANDAONI

Baby mama wa mchekeshaji Mulamwah, Carol Sonnie amesikitisha na namna baadhi ya watu ambao wameanza kufanya mzaha na ishu ya kuachana na mchekeshaji huyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Carol Sonnie ameandika waraka mrefu akiwataka wanaotumia picha yake wakidai kwamba wanachumbia kushusha picha hizo ujumbe ambao umetafsiriwa unamlenga mchekeshaji Propesa ambaye juzi kati alipost picha […]

Read More