Eve Mungai Atishia Kutoa Ushahidi Baada ya Kudaiwa Kufilisika

Eve Mungai Atishia Kutoa Ushahidi Baada ya Kudaiwa Kufilisika

Youtuber maarufu nchini Kenya, Mungai Eve, ametoa onyo kali kwa mwanaume asiyejulikana anayedaiwa kuendelea kumtaja na kuingiza jina lake kwenye mabishano ya hadharani mtandaoni. Mungai Eve, kupitia mitandao yake ya kijamii, amesema wazi kuwa hatasita kuwasilisha ushahidi dhidi ya mtu yeyote atakayejaribu kumfanya aonekane duni au kumtuhumu bila sababu. Amesisitiza kuwa utulivu wake wa sasa […]

Read More