Nandy kumtambulisha msanii wake kesho
Staa wa Bongofleva Nandy ametangaza kutambulisha Msanii wake mpya na wa kwanza kwenye lebo yake ya THE AFRICAN PRINCESS. Nandy amepost picha ya kwanza ya akiwa na Msanii huyo japo hakuonesha sura yake na kuandika “Tarehe 19/1/2023 ndio siku dunia ya mziki itakutambua, nakuombea sana na nakuamini sana na ninaamini Tanzania na dunia nzima iko […]
Read More