Nyce Wanjeri akiri mali zake kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa madeni
Mwigizaji maarufu wa Kenya, Nyce Wanjeri, amethibitisha kuwa baadhi ya mali zake zimepigwa mnada kufuatia changamoto kubwa za kifedha anazopitia kwa sasa. Kupitia mitandao yake ya kijamii, amesema kuwa ameshindwa kulipa madeni yake kwa wakati, hali iliyosababisha madalali (auctioneers) kuanza kuuza mali zake ili kufidia fedha wanazodaiwa. Mwigizaji huyo amesema hali hiyo imemweka kwenye wakati […]
Read More