SHILOLE AUMIZWA NA MAUJI YA MAKE UP ARTIST TANZANIA
Msanii wa muziki na mjasiriamali nchini Tanzania Shilole amelizwa na tukio la mauaji ya mrembo maarufu wa shughuli za urembo (Make up artist) aliyeuawa kwa kupigwa risasi saba kichwani. Kupitia waraka mrefu aliouandika kupitia ukurasa wake wa Instagram Shilole amesema kuwa ndoa siyo jela, na mtu akishindwa na masuala ya ndoa anapaswa kuondoka kwani ndoa za siku hizi siyo kama za […]
Read More