Nyota Ndogo Awaonyesha Upendo Madereva kwa Kuwapikia Chakula Siku ya Valentine’s
Mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka Kenya, Nyota Ndogo, ameamua kuwaonyesha upendo madereva wa bajaji, boda boda na magari kwa kuwapikia chakula maalum kama ishara ya kuthamini mchango wao katika jamii kwenye siku ya wapendanao duniani. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Nyota Ndogo ameposti video ikionesha namna alivyowapikia pilau na kuwagawia madereva hao huku akisindikiza na maua […]
Read More