Octopizzo Akataa Dini ya Kikristo
Rapa kutoka Kenya, Octopizzo, amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kutoa kauli tata kuhusu dini, hususan Ukristo. Akizungumza kwa uwazi, Octopizzo amesema kuwa haamini katika dini ya Kikristo, akidai kuwa Ukristo kwa sasa umegeuzwa kuwa kitega uchumi na baadhi ya viongozi wa dini. Kwa mujibu wake, hali hiyo imemfanya kukosa imani na uhalisia wa dini […]
Read More