OCTOPIZZO ADOKEZO UJIO WA KOLABO NA NYASHINSKI, ZIARA YAKE YA KIMUZI PAMOJA NA ALBUM MPYA

OCTOPIZZO ADOKEZO UJIO WA KOLABO NA NYASHINSKI, ZIARA YAKE YA KIMUZI PAMOJA NA ALBUM MPYA

Mkali wa muziki wa Hiphop nchini Octopizzo ametangaza ujio wa wimbo wake mpya aliyomshirikisha na lejendari wa muziki Nyashinski Octopizzo amethibitisha taarifa hiyo njema kwa mashabiki zake Kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare picha akiwa na  Nyashinski  ambapo  amewataka mashabiki wakae mkao wa kula kupokea collabo yao ambayo kwa mujibu wake itakuwa moto wa kuotea mbali. Hitmaker […]

Read More