Drama! Mwanamke Amwaga Maua ya Oga Obinna Aliyetumwa na Mumewe

Drama! Mwanamke Amwaga Maua ya Oga Obinna Aliyetumwa na Mumewe

Jaribio la kupatanisha wanandoa waliokosana kupitia kipindi kipya cha mtangazaji na mchekeshaji maarufu Oga Obinna limegonga mwamba baada ya mwanamke mmoja kukataa msamaha wa mumewe hata baada ya kufikishiwa maua na ujumbe wa msamaha Katika tukio hilo, Obinna aliwasili akiwa amebeba maua akiandamana na mpiga tarumbeta kwa lengo la kumfikishia mwanamke huyo zawadi kutoka kwa […]

Read More
 Stpd Boy Aomba Msamaha kwa Oga Obinna, Ataka Kurudi Rehab

Stpd Boy Aomba Msamaha kwa Oga Obinna, Ataka Kurudi Rehab

Rapper maarufu Stpd Boy ameibuka hadharani kuomba msamaha kwa mchekeshaji Oga Obinna, siku chache baada ya mvutano kati yao uliotikisa mitandao ya kijamii. Kupitia Instagram, Stpd Boy alionekana mwenye majuto makubwa huku akikiri kwamba amerejea kwenye ulevi na maisha yasiyo na mwelekeo. Katika ujumbe wake, aliomba arudishwe kwenye kituo cha rehab ili aweze kuendelea na […]

Read More
 Dufla Diligon Amlalamikia Mulamwah kwa Kumblock Instagram

Dufla Diligon Amlalamikia Mulamwah kwa Kumblock Instagram

Msanii wa muziki wa Kenya, Dufla Diligon, amezua mjadala mtandaoni baada ya kufichua kuwa amefungiwa (blocked) na mchekeshaji maarufu Mulamwah kwenye mtandao wa Instagram. Kupitia Instastory yake, Dufla alisimulia tukio hilo kwa mshangao na utani, akisema kuwa aligundua amefungiwa wakati alipokuwa akitafuta akaunti ya Mulamwah akiwa katika mazungumzo na msanii Lyanii.  “Jana tulikuwa na mazungumzo […]

Read More
 Oga Obinna Aahidi Kumsaidia Stoopid Boy Kurudi Shuleni na Kujenga Maisha Yake Upya

Oga Obinna Aahidi Kumsaidia Stoopid Boy Kurudi Shuleni na Kujenga Maisha Yake Upya

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Oga Obinna, ameonyesha moyo wa kipekee wa utu na msaada kwa msanii Stoopid Boy kwa kuahidi kumsimamia katika safari yake mpya ya maisha baada ya kutoka kwenye kituo cha urekebishaji tabia (rehab). Kupitia ujumbe alioutoa hadharani, Obinna alisema kuwa ameweka nia ya kumrudisha Stoopid Boy shuleni, kumsaidia kujiunga na […]

Read More
 MCHEKESHAJI OGA OBINNA AZUA GUMZO MTANDAONI

MCHEKESHAJI OGA OBINNA AZUA GUMZO MTANDAONI

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Oga Obinna amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kutoa kauli kuwa wanawake waliochora tattoo na kutoboa miili yao kwa kuweka vipini kwenye pua sio wife material. Kauli hiyo imeibua hisia mseto miongoni mwa Wakenya kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakisema kuwa hayupo sahihi ikizingatiwa kuwa kila mwanamke ana haki ya […]

Read More