Oga Obinna Akataa Penzi la Shabiki wa Miaka 18

Oga Obinna Akataa Penzi la Shabiki wa Miaka 18

Msanii wa vichekesho na mwanahabari, Oga Obinna, amezua mjadala mitandaoni baada ya kukataa waziwazi ombi la kutoka kimapenzi na shabiki wake mwenye umri wa miaka 18. Kupitia picha za skrini shots zilizosambaa mtandaoni, Obinna anaonekana akiweka wazi msimamo wake kwa kuamwambia binti huyo kuwa bado ni mdogo sana na akamshauri aelekeze nguvu zake kwenye masomo […]

Read More
 Oga Obinna Amtetea Larry Madowo Baada ya Mpambe wa Rais Samia Kupinga Ripoti ya CNN  

Oga Obinna Amtetea Larry Madowo Baada ya Mpambe wa Rais Samia Kupinga Ripoti ya CNN  

Mchekeshaji na mtangazaji wa Kenya, Oga Obinna, ameibuka kumtetea kwa nguvu mwandishi wa habari wa CNN, Larry Madowo, kufuatia kauli ya mpambe wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyepinga na kupuzilia mbali ripoti ya chombo hicho kuhusu machafuko ya uchaguzi nchini Tanzania. Akiwa hewani kupitia Obinna TV, Obinna ameonekana kukerwa na hatua ya mpambe huyo kuhoji […]

Read More
 Oga Obinna Atimiza Ahadi ya Kukutana na Binti Aliyemlilia Mtandaoni

Oga Obinna Atimiza Ahadi ya Kukutana na Binti Aliyemlilia Mtandaoni

Mtangazaji na mchekeshaji wa Kenya, Oga Obinna, hatimaye ameitikia wito wa mapenzi baada ya kutimiza ahadi yake ya kukutana na binti aliyemlia akimuomba penzi hadharani kupitia video iliyosambaa mitandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Obinna ameshiriki video ikimuonyesha akiwa kwenye chakula cha mchana na binti huyo, tukio ambalo limevutia hisia mseto kutoka kwa mashabiki wake. […]

Read More
 Mrembo Aliyetakiwa Kumlipa Obinna Milioni 6 Asema Hana Uwezo wa Kifedha

Mrembo Aliyetakiwa Kumlipa Obinna Milioni 6 Asema Hana Uwezo wa Kifedha

Mrembo aliyekuwa ameamriwa na mahakama kumlipa mchekeshaji wa Kenya Oga Obinna fidia ya shilingi milioni 6 kwa kumdhalalisha, ameibuka akisema hana uwezo wa kulipa kiasi hicho kikubwa cha pesa. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, mrembo huyo alionekana akilia kwa uchungu, akieleza kuwa kwa sasa anapitia changamoto kubwa za kiuchumi na hana njia yoyote ya kupata fedha […]

Read More
 Mahakama Yampa Ushindi Oga Obinna Dhidi ya Radio Jambo

Mahakama Yampa Ushindi Oga Obinna Dhidi ya Radio Jambo

Mchekeshaji na mtangazaji kutoka nchini Kenya, Oga Obinna, ameibuka mshindi katika kesi ya kashfa ya mtandaoni dhidi ya watangazaji wenzake Massawe Japani, Black Cinderella, na kituo cha redio Radio Jambo. Kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama uliotolewa jana, Obinna amezawadiwa shilingi milioni sita kama fidia kutokana na maneno ya kumdhalilisha yaliyotolewa kupitia kipindi cha redio […]

Read More
 Binti Aliyemlilia Oga Obinna Mtandaoni Apata Mwaaliko wa Chakula

Binti Aliyemlilia Oga Obinna Mtandaoni Apata Mwaaliko wa Chakula

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu Oga Obinna ameahidi kumpeleka lunch date binti aliyesambaa mitandaoni baada ya kuonekana akimwaga machozi akieleza wazi mapenzi yake kwake kupitia video iliyosambazwa mitandaoni. Binti huyo alionekana akieleza jinsi anavyompenda Obinna kwa moyo wake wote na kumwomba ampe nafasi ya kuwa naye, jambo lililozua maoni mseto mitandaoni. Obinna kupitia ukurasa wake wa […]

Read More
 Oga Obinna Atokwa na Machozi kwenye Mazishi ya Kimani Mbugua

Oga Obinna Atokwa na Machozi kwenye Mazishi ya Kimani Mbugua

Mtangazaji Oga Obinna amejipata akitokwa na machozi ya uchungu wakati wa mazishi ya mwanahabari Kimani Mbugua, tukio lililofanyika katika eneo la Maragua, Kaunti ya Murang’a. Katika hotuba yake, Obinna ameelezea maumivu makubwa aliyoyahisi kutokana na kumpoteza rafiki katika tasnia ya habari, akisema wanahabari na wasanii wengi wanapitia changamoto kubwa za kimaisha na kisaikolojia ambazo mara […]

Read More
 Oga Obinna Aonyesha Heshima kwa Hayati Raila kwa Kunyoa Kipara 

Oga Obinna Aonyesha Heshima kwa Hayati Raila kwa Kunyoa Kipara 

Mtangazaji na mchekeshaji Oga Obinna ameonyesha heshima zake za mwisho kwa hayati Raila Odinga kwa kunyoa kipara kamili, kama ishara ya maombolezo na heshima kulingana na tamaduni za jamii ya Wajaluo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Obinna ameposti picha akionyesha kichwa chake kilichonyolewa kabisa, akifafanua kuwa kitendo hicho kilikuwa njia yake ya kumuenzi kiongozi huyo […]

Read More
 Oga Obinna Atoa Ushauri kwa Wasanii Kufuatia Uharibifu wa Duka la Willy Paul

Oga Obinna Atoa Ushauri kwa Wasanii Kufuatia Uharibifu wa Duka la Willy Paul

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu Oga Obinna ameonya wasanii wa Kenya kuhusu kuendesha biashara zao kwa tahadhari, kufuatia tukio ambapo genge la watu wasiojulikana liliharibu duka la pombe linalomilikiwa na msanii Willy Paul. Kupitia mitandao ya kijamii, Obinna amesisitiza kwamba wasanii wanapaswa kuwa wanyenyekevu na waangalifu wanapoingia katika biashara nje ya muziki ili kuepuka chuki na […]

Read More
 Oga Obinna Ajitetea Baada ya Madai ya Kumtumia Dem wa Facebook

Oga Obinna Ajitetea Baada ya Madai ya Kumtumia Dem wa Facebook

Mchekeshaji na mtangazaji maarufu wa Kenya, Oga Obinna, amejibu madai yanayosambaa mitandaoni kuhusu kumfuta kazi ghafla mrembo anayejulikana kama “Dem wa Facebook.” Akizungumza kuhusu suala hilo, Obinna amesisitiza kuwa hakuwahi kumwajiri binti huyo kwa mkataba rasmi wala kufanya makubaliano ya ajira. Ameeleza kuwa ushirikiano wao ulikuwa ni wa kusaidiana kikazi na kwamba lengo lake lilikuwa […]

Read More
 Oga Obinna Aumizwa na Tuhuma za Kifo cha Shalkido

Oga Obinna Aumizwa na Tuhuma za Kifo cha Shalkido

Mtangazaji na mchekeshaji maarufu wa Kenya, Oga Obinna, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya baadhi ya wafuasi mitandaoni kumhusisha kwa maneno na kifo cha msanii wa kundi la Sailors, Shalkido. Tuhuma hizo zimeibuka baada ya taarifa za kifo cha Shalkido kusambaa mitandaoni, huku baadhi ya watumiaji wa mitandao wakimtaja Obinna kama mtu aliyekuwa akizungumza mara […]

Read More
 Oga Obinna Amuinua Shalikido Kwa Msaada wa Kifedha na Ajira Mpya

Oga Obinna Amuinua Shalikido Kwa Msaada wa Kifedha na Ajira Mpya

Mtangazaji maarufu na mchekeshaji Oga Obinna, amejiunga na orodha ya mastaa ambao wameamua kumsaidia msanii wa muziki wa Gengetone, Shalikido, ambaye hivi karibuni aliomba umma imsaidie kutokana na maisha kumuendea vibaya. Katika hatua ya kuonyesha upendo na mshikamano kwa wasanii wachanga, Oga Obinna ameamua kumpa Shalikido kazi ya mwaka mmoja kama mshawishi wa mitandaoni (influencer), […]

Read More