Otile Brown Aachia Rasmi EP Yake Mpya,
Msanii wa RnB kutoka Kenya, Otile Brown, amethibitisha rasmi kuachiwa kwa EP yake mpya, akisema kazi hiyo inapatikana sasa kwenye majukwaa yote makuu ya muziki mtandaoni. EP hii, inayokwenda kwa jina “The Real King of the East”, ina ngoma tano zenye mwelekeo wa kisasa wa RnB, zikiwemo kolabo tatu za uzito na wasanii kama The […]
Read More