Otile Brown awaomba mashabiki kumrejeshea laptop zake zilizoibiwa Tanzania

Otile Brown awaomba mashabiki kumrejeshea laptop zake zilizoibiwa Tanzania

Staa wa muziki nchini Kenya Otile Brown ametoa rai kwa mashabiki zake wa Tanzania kumrejeshea kompyuta zake mbili za mkononi zilizopotea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kupitia instagram live amesema yupo radhi kutoa kiasi chochote fedha kwa mtu yeyote atakayemrejeshea laptop hizo kwani zimemkosesha usingizi. Aidha ameahidi kuwa hana mpango wa […]

Read More
 Otile Brown aibiwa laptop mbili nchini Tanzania

Otile Brown aibiwa laptop mbili nchini Tanzania

Nyota wa muziki nchini, Otile Brown amedai kuibiwa laptop zake mbili aina ya MacBook akiwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Kupitia insta story yake Otile ambaye ametua nchini Tanzania asubuhi ya leo kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki ameeleza kuwa walinzi pamoja na watoa huduma walikataa […]

Read More
 Otile Brown aachia rasmi Extended Playlist yake mpya

Otile Brown aachia rasmi Extended Playlist yake mpya

Mwanamuziki kutoka Kenya Otile brown ameachia rasmi Extended playlist yake mpya baada ya ukimya wa miezi mitatu EP hiyo iitwayo Terminator ina jumla ya nyimbo tano za moto akiwa amewashirikisha wakali kama Vivian, Ilogos na The Ben. Terminator EP ina nyimbo kama Kolo Kolo, Terminator, By My Side, Hatima, Do It na inapatikana Exclusive kwenye […]

Read More
 Otile Brown awajibu waliomjia juu kuhusu Kiswahili

Otile Brown awajibu waliomjia juu kuhusu Kiswahili

Mwanamuziki nyota nchini Otile Brown ameamua kuwajibu wanaoendelea kumponda mtandaoni baada ya kutoa maoni yake kuwa lugha ya Kiswahili inayotumika na wasanii wa Kenya ndio sababu kubwa inayowafanya wasifanye vizuri kimataifa kama wanavyofanya wasaniii wa Nigeria. Kupitia mfululizo wa instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Otile amesema kuwa lugha ya Kiswahili ndio lugha ambayo imempa […]

Read More
 Otile Brown afunguka kuhusu kujipendekeza kwa mpenzi wake wa zamani Nabayet

Otile Brown afunguka kuhusu kujipendekeza kwa mpenzi wake wa zamani Nabayet

Staa wa muziki nchini Otile Brown amewajibu wanaodai kuwa anajipendekeza kwa mpenzi wake wa zamani Nabayet licha ya mahusiano yao kuvunjika. Otile ambaye amerejea nchini baada ya kukamilisha ziara ya miezi miwili nchini marekani amewashangaa wanaomsema vibaya kuwa bado anamzimia kimapenzi mrembo huyo kwa kusema kuwa hajutii kitendo cha kumtumia salamu za heri kwenye kumbukizi […]

Read More
 Meneja wa Otile Brown awapa mapromota utaratibu mpya wa kumpata msanii wake

Meneja wa Otile Brown awapa mapromota utaratibu mpya wa kumpata msanii wake

Meneja wa Otile Brown, Noriega amewapa utaratibu mpya mapromota wa kimataifa watakaompatia msanii wake shows. Kupitia instastory Noriega amewataka wahakikishe kuwa wanamtumia Otile Brown na timu yake ndege binafsi. Aidha amesema nyakati za Otile brown kugharamikia nauli ya ndege kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya shows zimepita na wakati huku akisema kuwa ni lazima […]

Read More
 OTILE BROWN AZUA GUMZO MTANDAONI NA SOKSI YA KSHS. 32,000

OTILE BROWN AZUA GUMZO MTANDAONI NA SOKSI YA KSHS. 32,000

Msanii nyota nchini Otile Brown ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho. Mkali huyo wa “Celebration” kupitia Instastory ametuonesha soksi ambazo kwa mujibu wake zilimgharimu shillingi 32,000 za Kenya. Hatua hiyo imeonekana kuleta ukakasi miongoni mwa mashabiki zake, wengi wakionekana kumkejeli kwa kusema kuwa anatumia suala hilo kutengeneza mazingira ya kuzungumziwa mtandaoni Hii sio […]

Read More
 OTILE BROWN AWACHANA WANAOKOSOA MUZIKI WAKE

OTILE BROWN AWACHANA WANAOKOSOA MUZIKI WAKE

Mwanamuziki nyota nchini Otile Brown amewatolea uvivu  baadhi ya mashabiki wanaozidi kumkosoa baada ya kuacha kuimba nyimbo zake kwa lugha ya Kiswahili na kugeukia Kiingereza. Kupitia mfululizo wa insta stories kwenye ukurasa wake wa Instagram, Otile amewataka wanaopinga juhudi zake za kuupeleka muziki wake kimataifa kuanza kujifunza kuhusu mitindo mbali mbali ya muziki huku akienda […]

Read More
 OTILE BROWN ASHINDWA KUFICHA HISIA ZAKE KWA MICHELE BRAXTON

OTILE BROWN ASHINDWA KUFICHA HISIA ZAKE KWA MICHELE BRAXTON

Mwanamuziki maarufu nchini Otile Brown ameshindwa kuendelea kuficha hisia zake za ndani juu ya mapenzi aliyonayo kwa staa wa muziki wa Rnb kutoka Marekani, Toni Michele Braxton. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Otile ameweka wazi hisia zake  kwa Michele Braxton kwa kudai kwamba amekuwa akimzimia kimapenzi mwanamuziki huyo kwa muda mrefu na bado anaendelea kuhusudu […]

Read More