Fik Fameica: Pallaso Ni Shabiki Tu, Si Mlezi Wangu Kimuziki
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Fik Fameica amevunja ukimya na kukanusha vikali madai ya msanii mwenzake Pallaso, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akidai kuwa alihusika pakubwa katika kukuza safari yake ya muziki. Hii ni baada ya Pallaso kudai kuwa alimtoa Fik Fameica kwenye mitaa ya Kawempe, na kumtambulisha kwenye muziki, na hata kumsaidia kifedha alipokuwa anaanza […]
Read More