PALLASO KUENDELEA NA SHOWS ZAKE LICHA YA KUUMIA GOTI
Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Pallaso ametusanua kuwa ataendelea na shows zake kama ilivyoratibiwa baada ya kupata jeraha la goti kwenye moja ya perfomance yake katika hoteli ya La Grande viungani mwa jiji la Kampala. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Malamu” ametumia mitandao yake ya kijamii kuwafahamisha mashabiki wake na wale waliokuwa wamempa shows […]
Read More