Pastor Kanyari Akana Kufahamishwa Kuhusu Ugonjwa wa Betty Bayo

Pastor Kanyari Akana Kufahamishwa Kuhusu Ugonjwa wa Betty Bayo

Mchungaji Victor Kanyari amekanusha madai kwamba aliwahi kufahamishwa kuhusu ugonjwa wa mkewe wa zamani, marehemu Betty Bayo, kabla ya kifo chake. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, amesema taarifa za kifo cha Betty zilimuumiza sana, akieleza kuwa kama angeambiwa mapema kuhusu hali yake, angejitahidi kumsaidia kadri ya uwezo wake. Kanyari amepuzilia mbali madai kwamba hakumpenda […]

Read More
 Kanyari Akosolewa kwa Kutumia Kifo cha Aliyekuwa Mke Wake Kutafuta Kiki

Kanyari Akosolewa kwa Kutumia Kifo cha Aliyekuwa Mke Wake Kutafuta Kiki

Mjadala mkali umeibuka mtandaoni baada ya mtumiaji mmoja wa mitandao ya kijamii kumshutumu Mchungaji Victor Kanyari kwa kutumia kifo cha aliyekuwa mke wake, mwimbaji wa nyimbo za injili Betty Bayo, kama njia ya kutafuta kiki. Taarifa hiyo imevutia hisia kali kutoka kwa Wakenya, wengi wakionesha kutoridhishwa na namna Kanyari ameonekana kujitokeza hadharani akionekana kulia na […]

Read More
 Pastor Kanyari Angua Kilio Akiomboleza Kifo cha Betty Bayo

Pastor Kanyari Angua Kilio Akiomboleza Kifo cha Betty Bayo

Mchungaji maarufu wa Jijini Nairobi, Victor Kanyari, amezidi kugubikwa na majonzi kufuatia kifo cha aliyekuwa mke wake na mwanamuziki wa injili, Betty Bayo. Katika video zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, Kanyari ameonekana akishindwa kujizuia kutokana na huzuni kubwa iliyompata baada ya kusikia taarifa za msiba huo huku wasanii na marafiki wa marehemu wakijumuika naye kumpa […]

Read More
 Pastor Kanyari Aibua Mjadala kwa Kutoza Waumini Ada ya KSh300 ya Uanachama

Pastor Kanyari Aibua Mjadala kwa Kutoza Waumini Ada ya KSh300 ya Uanachama

Mchungaji mwenye utata Victor Kanyari amezua gumzo mtandaoni baada ya kutangaza kuwa waumini wa kanisa lake watalazimika kujisajili rasmi kwa ada ya KSh 300, ambayo italipwa kila mwezi ili kudumisha uanachama wao. Kulingana na tangazo hilo, waumini ambao hawatalipa ada hiyo hawatahesabiwa kama wanachama kamili wa kanisa, hali ambayo imezua hisia mseto kutoka kwa umma […]

Read More