Penzi la Pritty Vishy na Madini Classic laingiwa na ukungu

Penzi la Pritty Vishy na Madini Classic laingiwa na ukungu

Mrembo maarufu mtandaoni nchini Pritty Vishy amethibitisha kutokuwa na maelewano mazuri na mchumba wake msanii Madini Classic. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Mrembo huyo amesema kwa muda sasa hawajakuwa pamoja na Madini Classic kutokana na ugomvi ulioibuka kati yao juzi kati. Vishy amedai kwamba kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kutatua tofauti zao huku ukisisitiza […]

Read More
 Pritty Vishy azua gumzo mtandaoni, Akiri kuwahi kushiriki mapenzi ya jinsia moja

Pritty Vishy azua gumzo mtandaoni, Akiri kuwahi kushiriki mapenzi ya jinsia moja

Mchumba wa msanii Madini Classic, Pritty Vishy amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kukiri hadharani kuwahi kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Kupitia insta stori yake kwenye mtandao wa Instagram mrembo huyo amesema alikuwa anavutiwa kimapenzi na wanawake wenye makalio makubwa. ” Mi nishawahi, Ilikua dame tulikutana naye Facebook. Nlikuwa curious kujua lesbians hufanya nini. Si […]

Read More
 MADINI CLASSIC AWAJIBU WANAMKOSOA MPENZI WAKE PRITTY VISHY

MADINI CLASSIC AWAJIBU WANAMKOSOA MPENZI WAKE PRITTY VISHY

Msanii kutoka Mombasa Madini Classic amelazimika kumkingia kifua mpenzi wake mpya baada ya rafiki yake kudai kwamba ikiwa atamuoa Pritty, hatamzalia watoto wazuri. Kupitia ukurasa wake wa instagram, Madini amesema kuwa mchumba wake Pritty si kama wanawake wengi kwa sababu huwa Hariri picha anazoziweka kwenye mitandao yake ya kijamii. “Sielewi ni kwa nini wengi wenu […]

Read More
 PENZI LA PRITTY VISHY LAMKOSESHA USINGIZI MADINI CLASSIC.

PENZI LA PRITTY VISHY LAMKOSESHA USINGIZI MADINI CLASSIC.

Msanii Madini Classic amethibitisha kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Ex wa Stivo Simple Boy Prity Vishy ikiwa ni miezi kadhaa wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja. Katika mahojiano yake hivi karibuni Madini amesema alianza mahusiano yake kwenye mitandao ya kijamii alipomtumia ujumbe mfupi mrembo huyo na kumuomba namba ya simu huku akisema kwamba ujasiri na […]

Read More
 PRITTY VISHY ALIZWA NA KITENDO CHA ADASA KUTAKA KUMUIBIA MPENZI WAKE MSANII STIVO THE SIMPLE BOY

PRITTY VISHY ALIZWA NA KITENDO CHA ADASA KUTAKA KUMUIBIA MPENZI WAKE MSANII STIVO THE SIMPLE BOY

Mpenzi wa mwanamuziki Stivo The Simple, Pritty Vishy ameonekana kukerwa na kitendo cha msanii Adasa kuonekana kumzimia kimahaba rapa huyo kwenye moja ya video aliyoshare kwenye mtandao wa Instagram. Kwenye video hiyo ambayo wapo ufukweni mwa bahari Hindi, Adasa anaonekana akipiga stori na Stivo the Simple wakiwa matembezini ambapo ghafla aliaanza kumzungushia kiuno akiwa katika […]

Read More