Pritty Vishy Ashtumiwa kwa Kudanganya Umma Kuhusu Sakata la Upasuaji wa Kuongeza Makalio
Socialite anayesuasua nchini Kenya, Pritty Vishy, ameanikwa mtandaoni na rafiki yake wa karibu kuwa alifanya upasuaji wa kuongeza makalio (BBL) kwa siri licha ya kukana mara kwa mara. Kwa mujibu wa rafiki yake Becky Akinyi, Pritty alifanyiwa upasuaji wa BBL na kwamba alihusika kumsaidia na kumhudumia wakati alipokuwa kwenye mchakato wa kupona baada ya upasuaji […]
Read More