Rayvanny atajwa kuwania tuzo kubwa za Kilatini

Rayvanny atajwa kuwania tuzo kubwa za Kilatini

Boss wa lebo ya ‘Next Level Music’, msanii Rayvanny kufuatia ametajwa kwenye tuzo kubwa za Kilatini ziitwazo “Lo Nuestro Awards”. Waandaaji wa tuzo hizo kupitia kurasa zao za mitandao ya Kijamii Premiolonuestro wametangaza majina ya wasanii waliochaguliwa kuwania mwaka huu kupitia vipengele mbalimbali. Majina ya wanamuziki wakubwa Dunianii yamehusu sana akiwemo pia Mtanzania pekee Rayvanny […]

Read More
 Rayvanny na Otile Brown waingia studio kurekodi kolabo yao

Rayvanny na Otile Brown waingia studio kurekodi kolabo yao

Wanamuziki nyota wanaoiwakilisha vyema Afrika Mashariki, wasanii Rayvanny na Otile Brown wameingia studio na wameonekana kwenye upishi wa kazi mpya. Wawili hao wanatajwa kuingia studio usiku wa kuamkia leo katika studio za Next Level Music zilizopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, zilizo chini ya msanii Rayvanny. Hata hivyo, bado haijafamika kuwa hii itakuwa ni kazi ya […]

Read More
 Harmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni

Harmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni

Msanii wa Bongofleva, Rayvanny ametapika nyongo kumuhusu Harmonize, ni vita ya maneno ambayo ilianzia kwenye insta story kufuatia Harmonize kuwataka wasanii kuacha kuimba nyimbo za kutukuza pombe kwani zinaharibu Jamii. Tamko hili lilimgusa Rayvanny ambaye aliibuka na kumjibu Harmonize kwamba, asiongee chochote kuhusu nyimbo za pombe kwani hajawahi kufanya nyimbo za aina hiyo na zikafanya […]

Read More
 Rayvanny adokeza ujio wa kolabo nyingine na Abigail Chams

Rayvanny adokeza ujio wa kolabo nyingine na Abigail Chams

Bosi wa Label ya Next Level Music (NLM), Msanii Rayvanny ameingia tena studio kufanya kazi na Abigail Chams ikiwa ni baada ya mwaka mmoja. Rayvanny aliwahi kumshirikisha Abigail Chams katika wimbo wake ‘Stay’ unaopatikana kwenye EP yake, New Chui iliyotoka Oktoba mwaka 2021. Hatua hiyo inakuja baada ya hivi karibuni Abigail Chams kufanya nyimbo mbili […]

Read More
 Rayvanny adokeza mpango wa kuachia Chuchumaa REMIX

Rayvanny adokeza mpango wa kuachia Chuchumaa REMIX

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Rayvanny ameonesha kushangazwa na ngoma yake iitwayo “Chuchumaa” iliyotoka miaka mitatu iliyopita kuwa bado inafanya vizuri sehemu mbalimbali dunini Kupitia ukurasa wake wa Twitter RayVanny amewahakikishia mashabiki wake kuachia toleo jipya la wimbo huo, huku akiwa bado anajiuliza msanii yupi atakuwa sahihi kumshirikisha. Itakumbukwa, wimbo wa Chuchumaa ulitoka rasmi Oktoba 5, mwaka […]

Read More
 Rayvanny aachia rasmi Unplugged Session EP

Rayvanny aachia rasmi Unplugged Session EP

Hatimaye msanii wa bongofleva Rayvanny amekata kiu ya mashabiki zake na Ep mpya inayokwenda kwa jina la Unplugged Session. Rayvanny ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia Extended Playlist hiyo mpya yenye jumla ya mikwaju 8 ya moto huku ikiwa na kolabo moja pekee kutoka msanii aitwaye Fari. Unplugged Session EP ina nyimbo kama Mama, […]

Read More
 Rayvanny ashinda tuzo ya Diafa, Dubai

Rayvanny ashinda tuzo ya Diafa, Dubai

Mwimbaji wa Bongofleva toka Next Level Music (NLM), Rayvanny ameshinda tuzo za Diafa kutokea Dubai usiku wa kuamkia leo. Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kupokea Tuzo hiyo ambayo hutolewa kuwaheshimisha watu mashuhuri mbali mbali toka falme za Kiarabu na hata Kimataifa kufuatia mafanikio na mchango wao kwa mwaka mzima katika […]

Read More
 Rayvanny akiri kukua kisanaa tangu aondoke WCB

Rayvanny akiri kukua kisanaa tangu aondoke WCB

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Rayvanny amesema tangu aondoke kwenye Label ya WCB amejihisi kukua Kimuziki na kwa sasa anawaza mambo makubwa zaidi. Akizungumza na mtandao wa Habari Leo, amesema changamoto anazokutana nazo pamoja na ushindani uliopo kwenye game ya bongo fleva, vimemkomaza zaidi. “Ukweli sijutii maamuzi yangu, zaidi napambana ili niweze kuwa mkubwa […]

Read More
 MBOSSO AFUNGUKA KUFANYA KAZI NA RAYVANNY

MBOSSO AFUNGUKA KUFANYA KAZI NA RAYVANNY

Hitmaker wa “Moyo”, Msanii Mbosso amefunguka uhusiano wake na Bosi wa Next Level Music Rayvanny. Katika mahojiano yake hivi karibuni Mbosso amesema licha ya Rayvanny kuondoka kwenye lebo ya WCB bado wana uwezo wa kufanya kazi pamoja kwani wao ni marafiki wakubwa. “Ni mwanangu, kwa hiyo inapokuja kazi ambayo natakiwa nifanye na Rayvanny lazima tufanye […]

Read More
 RAYVANNY ATAJWA NA JARIDA MAARUFU LA FORBES

RAYVANNY ATAJWA NA JARIDA MAARUFU LA FORBES

Mwanamuziki na C.E.O wa record label ya Next Level Music Rayvanny ametajwa na mtandao maarufu wa Forbes Africa katika orodha ya wanamuziki 20 kutoka barani Africa wanaotabiriwa kufanya vizuri katika muziki wa Afrika (future of the african music). Rayvanny ametajwa kwenye orodha hiyo sambamba na wasanii wengine wakubwa afrika kama Diamond Platnumz Burnaboy, Davido, Wizkid, […]

Read More