Rayvanny Azima Vugu Vugu Linalodai Kususia Muziki wa Bongo Fleva kwa Show kali Kigoma

Rayvanny Azima Vugu Vugu Linalodai Kususia Muziki wa Bongo Fleva kwa Show kali Kigoma

Msanii wa Bongo Fleva Rayvanny amepiga show kali mjini Kigoma, kitendo kilichoonekana kuvunja kabisa wimbi la baadhi ya Watanzania waliodai kususia nyimbo na burudani za wasanii wa Bongo Fleva wanaodaiwa kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kupitia mitandao ya kijamii, Rayvanny amewashukuru watu wa Kigoma hasa vijana wa Gen Z kwa upendo mkubwa waliomuonesha, akisema sapoti […]

Read More
 Rayvanny Awashukuru Gen Z kwa Sapoti Kubwa Tiktok

Rayvanny Awashukuru Gen Z kwa Sapoti Kubwa Tiktok

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameibuka kifua mbele akidai kuwa kwa sasa hakuna msanii anayemfikia, baada ya wimbo wake mpya “Toto” kufanikisha rekodi kubwa kwenye mtandao wa TikTok. Wimbo huo umefanikiwa kufikisha jumla ya posti milioni 1 TikTok, hatua iliyomfanya kuwa msanii pekee kutoka Tanzania aliyefikia rekodi hiyo kwa mwaka huu. Kupitia Instastory yake, […]

Read More
 Rayvanny na Nora Fatehi Washukuru Mashabiki Baada ya Kushinda Tuzo ya Video Bora ya Mwaka

Rayvanny na Nora Fatehi Washukuru Mashabiki Baada ya Kushinda Tuzo ya Video Bora ya Mwaka

Msanii wa Bongo Fleva Rayvanny na nyota wa kimataifa Nora Fatehi wamewafikia mashabiki wao kwa ujumbe wa shukrani baada ya ushindi mkubwa kwenye EAEA Awards, ambako wimbo wao “Oh Mama Tetema” umeibuka mshindi wa Video Bora ya Mwaka. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rayvanny amepakia video ya Nora Fatehi akitoa shukurani kwa mashabiki wote waliounga […]

Read More
 Rayvanny Afichua Mpango wa Kufanya EP na Wasanii Chipukizi

Rayvanny Afichua Mpango wa Kufanya EP na Wasanii Chipukizi

Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Rayvanny, ametangaza mpango mpya wa kuibua vipaji kwa kutengeneza EP maalum akiwashirikisha wasanii chipukizi kutoka mitaani. Kupitia mitandao ya kijamii, Rayvanny amesema lengo ni kuwapa nafasi vijana wenye uwezo mkubwa lakini wasio na majukwaa ya kujitangaza. Ameongeza kuwa safari yake ya mafanikio ilisaidiwa na watu waliomuamini, hivyo hana budi kuwarudishia fadhila […]

Read More
 Rayvanny Ajivunia Mafanikio ya Tamasha la Dubai

Rayvanny Ajivunia Mafanikio ya Tamasha la Dubai

Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameendelea kuthibitisha umahiri wake baada ya kupiga show ya nguvu jijini Dubai, tukio lililohudhuriwa na maelfu ya mashabiki kutoka mataifa mbalimbali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rayvanny ameonyesha furaha na kujivunia mafanikio hayo akisema kuwa mpaka sasa nchini Tanzania hakuna msanii mwenye onyesho kali kama alilolifanya juzi […]

Read More
 Rayvanny Atoa Onyo Kali Kwa Anaendesha Akaunti Feki Facebook kwa Jina Lake

Rayvanny Atoa Onyo Kali Kwa Anaendesha Akaunti Feki Facebook kwa Jina Lake

Msanii wa Bongo Fleva, Rayvanny, ametoa onyo kali kwa mtu anayejifanya yeye kwenye ukurasa wa Facebook ulioidhinishwa (verified), wenye wafuasi zaidi ya milioni 3.4, baada ya akaunti hiyo feki kutumia jina lake kuposti picha na video za matukio ya kusikitisha yanayoendelea nchini Tanzania. Kupitia instastory zake, Rayvanny alionekana mwenye hasira akimtahadharisha mtu huyo kuacha mara […]

Read More
 Rayvanny Afunguka Kuhusu Kusemwa Vibaya na Mbosso

Rayvanny Afunguka Kuhusu Kusemwa Vibaya na Mbosso

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, amefunguka kuhusu maumivu aliyopitia kutokana na kile alichokiita usaliti kutoka kwa msanii mwenzake Mbosso. Kwenye mahojiano na waadishi wa habari, Rayvanny amesema aliumizwa sana baada ya kusikia kuwa Mbosso alimsema vibaya kwa Diamond Platinumz wakati alipokuwa akiondoka kwenye lebo ya WCB Wasafi. Hitmaker huyo wa “Mama Tetema” amefafanua […]

Read More
 Rayvanny Kutumbuiza Uwanja wa Taifa Juba, South Sudan

Rayvanny Kutumbuiza Uwanja wa Taifa Juba, South Sudan

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, anatarajia kutikisa jiji la Juba, South Sudan kwa onyesho kubwa litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Juba (Juba National Stadium). Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Rayvanny amethibitisha taarifa hiyo kwa maneno mazito yaliyojaa kujiamini, akieleza kuwa yeye si msanii wa kumbi ndogo bali wa viwanja vikubwa. “Not […]

Read More
 Wakazi Akosoa Mikataba Kandamizi kwa Wasanii Tanzania, Atumia Kisa cha Harmonize Kuonyesha Unyonyaji

Wakazi Akosoa Mikataba Kandamizi kwa Wasanii Tanzania, Atumia Kisa cha Harmonize Kuonyesha Unyonyaji

Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania, Wakazi, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kukosoa vikali aina ya mikataba wanayopewa wasanii wachanga na baadhi ya lebo kubwa za muziki nchini humo. Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram, Wakazi alisema kuwa mikataba mingi inalenga kuwanufaisha wamiliki wa lebo huku wasanii wakibaki bila mamlaka ya kazi zao […]

Read More
 Rayvanny mbioni kuachia Flowers III EP

Rayvanny mbioni kuachia Flowers III EP

Staa wa muziki wa BongoFleva Rayvanny ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bosi huyo wa Next Level Music amethibitisha taarifa hiyo kwa kusema kuwa mwaka huu 2023 ataachia EP ya ‘Flowers III’. ‘Flowers III’ itaifuata EP yake ya ‘Flowers II’ aliyoiachia Februari 10, […]

Read More