Ruth K Akanusha Kumdhuru Mwanawe kwa Ajili ya Kuvutia Hisia za Mulamwah
Mwanamitandao kutoka Kenya, Ruth K, amekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni yanayodai kuwa alimdhuru mwanawe kwa makusudi ili kuvutia hisia za baby daddy wake, Mulamwah, na kupata maudhui ya mitandao ya kijamii. Kupitia waraka mrefu kwenye Instastory, Ruth K amesema hawezi kamwe kumuumiza mtoto wake kwa sababu yoyote ile, akisisitiza kuwa madai hayo ni ya uongo […]
Read More