Baba Mtoto wa Sheebah Karungi Ajipata katika Tuhuma Nzito ya Wizi wa Magari Uingereza
Baba wa mtoto wa msanii nyota wa Uganda, Sheebah Karungi, amejikuta kwenye gumzo mitandaoni baada ya kuhusishwa na madai mapya ya uhalifu yaliyodaiwa kutokea nchini Uingereza. Kwa mujibu wa mwanablogu wa udaku Senga Acid, mume wa msanii huyo anayefahamika kama Jaffer aliwahi kuhukumiwa na kutumikia kifungo cha zaidi ya miaka miwili kwa tukio la wizi […]
Read More