SOL GENERATION YAMSAINI BIEN WA SAUTI SOL
Lebo ya Sol Generation imetangaza kumsaini msanii Bien Aime Baraza kwa mkataba wa shillingi millioni 50. Mkataba wa msanii huyo utadumu kwa kipindi cha miaka mitatu na umekuja wakati huu wasanii wa kundi la Sauti Sol wamezindua mpango wa kuachia kazi zao kama wasanii wa kujitegemea. Sauti Sol kama kundi bado limesainiwa kwenye lebo ya […]
Read More