SPICE DIANA AFUNGUKA SIRI YA MUZIKI WAKE KUPENYA TANZANIA
Mwanamuziki Spice Diana ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Uganda waliofanikiwa kupenya kwenye soko la muziki nchini Tanzania. Akizungumza kuhusu kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, mrembo huyo amesema huwa hatumii pesa nyingi kwenye kolabo kwani kigezo kikubwa ambacho yeye hutumia ni kuwakodisha waongozaji wazuri wa muziki wanaopendwa na wasanii wa Tanzania. Hitmaker huyo wa […]
Read More