TikTok Yaongeza Sehemu Mpya ya Kutuma Cards Kwenye DM

TikTok Yaongeza Sehemu Mpya ya Kutuma Cards Kwenye DM

Mtandao wa kijamii wa TikTok umeendelea kuja na maboresho mapya kwa watumiaji wake. Safari hii, TikTok imeongeza kipengele kipya kinachowaruhusu watumiaji kutuma Cards kupitia ujumbe binafsi, maarufu kama DM. Kupitia kipengele hiki kipya, mtumiaji anaweza kutuma card inayofanana na kadi ya kawaida ya kuandikia ujumbe mfupi. Ujumbe huo hujificha ndani ya card, na mpokeaji atalazimika […]

Read More
 TikTok Yafanya Maboresho Makubwa kwenye Sehemu ya Profile

TikTok Yafanya Maboresho Makubwa kwenye Sehemu ya Profile

App ya TikTok imefanya mabadiliko mapya katika mwonekano wa sehemu ya Profile za watumiaji wake. Katika maboresho hayo mapya, TikTok imehamisha taarifa muhimu kama picha ya profile, Bio pamoja na Links na kuziweka upande wa kushoto wa ukurasa wa profile. Mabadiliko haya yamezua mjadala mkubwa, huku watumiaji wengi wakisema muonekano huo unafanana kwa kiasi kikubwa […]

Read More
 TikTok Marekani sasa chini ya usimamizi mpya

TikTok Marekani sasa chini ya usimamizi mpya

TikTok ya nchini Marekani sasa inaendeshwa chini ya umiliki na usimamizi mpya, kupitia kampuni iitwayo TikTok USDC, inayosimamia shughuli zote za jukwaa hilo ndani ya Marekani. Hatua hiyo inakuja baada ya mijadala ya muda mrefu kuhusu usalama wa data za watumiaji, uwazi wa uendeshaji, pamoja na masuala ya ushawishi wa majukwaa ya mitandao ya kijamii. […]

Read More
 TikTok Yaanzisha Mfumo wa Kuchangisha Michango kwa Watumiaji

TikTok Yaanzisha Mfumo wa Kuchangisha Michango kwa Watumiaji

TikTok, jukwaa maarufu duniani kwa kushiriki video fupi, limeanzisha mfumo mpya utakaowawezesha watumiaji wake kuchangisha michango moja kwa moja kupitia akaunti zao. Hatua hii inalenga kuwawezesha wabunifu wa maudhui (content creators) kupata usaidizi wa kifedha kutoka kwa mashabiki wao, hasa katika nyakati ambazo wanahitaji msaada au wanapofanya kazi za kijamii na kijamii. Kwa mujibu wa […]

Read More
 Soko la Marekani Latarajia Kuona App Mpya kutoka ByteDance

Soko la Marekani Latarajia Kuona App Mpya kutoka ByteDance

Kampuni ya teknolojia ya ByteDance, inayojulikana kama mmiliki wa mtandao maarufu wa video za kifupi, TikTok, imeanza kutengeneza programu mpya iitwayo “M2” inayolenga soko la Marekani. App hii mpya inatarajiwa kuwa chaguo mbadala au programu ya ziada itakayolenga kutoa huduma za kuburudisha na kushirikiana kwa mtandao wa kijamii, ikizingatia mahitaji ya wateja wa soko la […]

Read More
 TikTok na SoundCloud Waanzisha Ushirikiano Mpya wa Kusaidia Wasanii na Wapenzi wa Muziki

TikTok na SoundCloud Waanzisha Ushirikiano Mpya wa Kusaidia Wasanii na Wapenzi wa Muziki

TikTok imeingia kwenye ushirikiano rasmi na SoundCloud, hatua inayolenga kuimarisha uzoefu wa watumiaji wa majukwaa hayo mawili na kusaidia wasanii wanaoibukia. Kupitia makubaliano hayo mapya, nyimbo kutoka SoundCloud sasa zitapatikana moja kwa moja kwenye TikTok, huku watumiaji wakipewa uwezo wa kuzihifadhi kupitia kipengele kipya kiitwacho “Add to Music” kwenye maktaba yao ya muziki (Library). Hili […]

Read More
 TIKTOK KUJA NA SOFTWARE MAALUM YA KURUSHA LIVE EVENTS KUPITIA KOMPYUTA

TIKTOK KUJA NA SOFTWARE MAALUM YA KURUSHA LIVE EVENTS KUPITIA KOMPYUTA

TikTok inafanya majaribio ya software maalum ya Desktops (Computers) ambayo itawezesha watumiaji kurusha LIVE Events moja kwa moja katika Desktops. TikTok Live Studio itakuwa ni maalum kwa matumizi ya Live Streaming zote za TikTok na watumiaji wataweza kuitumia katika kurusha matukio ya Live kutoka katika Computer kwenda katika simu na platform yote ya TikTok. Wakati […]

Read More
 TIKTOK YAANZA KUPATIKANA KATIKA TV ZA LG

TIKTOK YAANZA KUPATIKANA KATIKA TV ZA LG

TikTok imeanza kupatikana rasmi katika TV zote za LG ambazo zinatumia mfumo wa webOS 5.0 na kuendelea. Hii itasaidia kuweka urahisi kwa watumiaji wa TV kuona videos fupi za TikTok katika TV. Mwaka huu hatua kubwa ambayo mtandao wa TikTok ni kuchukua soko la Smart TV. Tayari ilitoa app kwa watumiaji wa Android TV na […]

Read More