Msanii Tory Lanez Afeli Kujaribu Kubatilisha Hukumu ya Jinai ya 2022

Msanii Tory Lanez Afeli Kujaribu Kubatilisha Hukumu ya Jinai ya 2022

Msanii wa muziki wa Marekani, Tory Lanez, ameshindwa katika jitihada zake za kuwasilisha ushahidi mpya ili kubatilisha hukumu yake ya jinai ya mwaka 2022. Lanez alifungua maombi mawili kuhusiana na shambulio la risasi lililotokea mwaka 2020 lililomkabili Megan Thee Stallion. Moja ya maombi hayo yalilenga kuanzisha hoja kwamba dereva wa mwendesha gari wa Peterson hakushuhudia […]

Read More
 Nicki Minaj Atishia Kufichua Ukweli kwa FBI na CIA Kufuatia Kisa cha Tory Lanez Kudungwa Kisu

Nicki Minaj Atishia Kufichua Ukweli kwa FBI na CIA Kufuatia Kisa cha Tory Lanez Kudungwa Kisu

Malkia wa muziki wa Hiphop duniani Nicki Minaj ameibua taharuki baada ya kudai kuwa anahisi tukio la Tory Lanez kudungwa kisu gerezani lilikuwa njama ya makusudi. Nicki sasa anasema yuko tayari kuzungumza na mashirika ya upelelezi ya Marekani, FBI na CIA, kuhusu kile anachodai kuwa ni mtandao wa vitisho vinavyohusisha watu wenye ushawishi mkubwa kwenye […]

Read More
 Amber Rose Aibua Mjadala Mpya Kuhusu Kesi ya Megan Thee Stallion

Amber Rose Aibua Mjadala Mpya Kuhusu Kesi ya Megan Thee Stallion

Mwanamitindo na mwanaharakati Amber Rose ameeleza hadharani sababu za kumtetea msanii Tory Lanez katika kesi ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion mwaka 2020. Akizungumza kwenye mahojiano ya moja kwa moja katika kipindi cha Chris Cuomo kinachorushwa kupitia NewsNation, Rose alisema anaamini Lanez hana hatia na anastahili kusamehewa na Gavana wa California, Gavin Newsom. Katika mazungumzo […]

Read More
 Megan Thee Stallion Aonyesha Hasira kwa Mashabiki wa Tory Lanez Walio na Mashaka Kuhusu Kesi ya Risasi

Megan Thee Stallion Aonyesha Hasira kwa Mashabiki wa Tory Lanez Walio na Mashaka Kuhusu Kesi ya Risasi

Rapa maarufu kutoka Marekani, Megan Thee Stallion, ameamua kupambana hadharani na mashabiki wa Tory Lanez ambao bado wanakanusha ukweli kwamba mwanamuziki huyo alimpiga risasi licha ya uamuzi wa mahakama ya juri mjini Los Angeles kuthibitisha hilo. Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Megan ameonesha kuchoshwa na mashambulizi ya mfululizo kutoka kwa baadhi ya watu […]

Read More
 Mwanasheria wa Megan Thee Stallion Avunja Ukimya Kufuatia Madai Mapya ya Timu ya Tory Lanez

Mwanasheria wa Megan Thee Stallion Avunja Ukimya Kufuatia Madai Mapya ya Timu ya Tory Lanez

Mwanasheria wa mwanamuziki maarufu wa Marekani, Megan Thee Stallion, Alex Spiro, amejitokeza kutoa kauli kali kufuatia taarifa zilizotolewa jana na timu ya mawakili wa Tory Lanez kuhusu kesi ya kumpiga risasi Megan. Kupitia taarifa kwa jarida la XXL Magazine, Spiro amejibu madai yaliyotolewa katika mkutano wa waandishi wa habari uliandaliwa na mawakili wa Lanez, ambapo […]

Read More
 Chris Brown Amkingia Kifua Tory Lanez, Wadau Wahoji Nia Yake Halisi

Chris Brown Amkingia Kifua Tory Lanez, Wadau Wahoji Nia Yake Halisi

Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown ameendelea na juhudi zake za kumtetea msanii Tory Lanez, ambaye anahusishwa na tukio la kupigwa risasi mguu wa rapa Megan Thee Stallion. Katika hatua ya hivi karibuni, Kupitia ujumbe aliouandika kwenye Insta-stori, Chris alisisitiza kuwa Tory Lanez anapaswa kuachiliwa kutokana na kile alichokiita udhalimu wa kifungo kisichostahili. Hatua […]

Read More