TMZ Yaanika Picha ya Mfungwa Anayedaiwa Kumchoma Kisu Rapa Tory Lanez Jela
Mtandao wa burudani wa TMZ umechapisha picha ya mfungwa anayeitwa Santino Casio, anayeshukiwa kumshambulia kwa kisu rapa Tory Lanez akiwa gerezani. Kwa mujibu wa TMZ, Casio anatumikia kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la mauaji na anatajwa kuwa na historia ya matukio ya vurugu tangu alipoanza kutumikia kifungo chake. Tukio hilo la kushangaza liliripotiwa kutokea […]
Read More