Windows 10 Yafika Tamati Baada ya Miaka 10 ya Matumizi
Mfumo wa kompyuta wa Windows 10 umefikia tamati rasmi, ambapo jana, Oktoba 14, 2025, ilikuwa siku ya mwisho kwa Microsoft kutoa msaada wa kiufundi na masasisho ya kiusalama kwa mfumo huo maarufu. Windows 10 ilizinduliwa rasmi mnamo Julai 29, 2015, na kwa kipindi cha miaka 10, imekuwa moja ya mifumo inayotumika zaidi duniani, hasa katika […]
Read More