WIZKID MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

WIZKID MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Album ijayo ya Wizkid itakuwa ya moto sana. Amethibitishia meneja wa zamani wa Chris Brown, Mike G kupitia ukurasa wake wa Twitter  kwenye picha ambayo amepozi na mkali huyo kutoka nchini Nigeria. Mwezi Oktoba mwaka wa 2021 wakati akiwa kwenye ziara yake ya muziki ‘Made In Lagos’ Wizkid alitangaza kuwa Album yake ya Tano itaitwa […]

Read More
 WIZKID ATAJWA KUWANIA TUZO ZA BILLBOARD MWAKA HUU

WIZKID ATAJWA KUWANIA TUZO ZA BILLBOARD MWAKA HUU

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid anaendelea kuchana mbuga Kimataifa mara baada ya kutangazwa kuwania tuzo za Billboard Music Awards kwenye kipengele cha Top R&B Song kupitia REMIX ya wimbo wake ‘Essence’ aliyomshirikisha Justin Bieber pamoja na Tems. Wizkid ambaye ni mshindi wa tuzo tatu za Billboard kupitia wimbo wa Drake ‘One Dance’ kolabo ambayo ilibeba […]

Read More
 WIZKID AMZAWADI GARI MENEJA WAKE SUNDAY ARE

WIZKID AMZAWADI GARI MENEJA WAKE SUNDAY ARE

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameufunga mwaka 2021 kwa kujiongezea baraka, amemfanyia surprise meneja wake wa muda mrefu Sunday Are kwa kumpatia zawadi ya gari mpya aina ya Prado. Meneja huyo ameshare video kwenye Instagram kuionesha gari hiyo, Toyota Land Cruiser SUV na kumshukuru Hitmaker huyo wa Essence. Thamani ya gari hiyo ni […]

Read More
 ESSENCE YA WIZKID YAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

ESSENCE YA WIZKID YAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

Ngoma ya Wizkid akiwa amemshiriki Tems, Essence imefanikiwa kufikisha kiwango cha mauzo ya platinum nchini Marekani. Essence imefanikiwa kuuza jumla ya nakala milioni 1 katika nchini hiyo tangu kuachiwa kwake Oktoba 29, mwaka wa 2020. Lakini pia wimbo huo ulifikisha mauzo ya Gold Septemba 2, mwaka wa 2021 kwa kuuza jumla ya nakala laki 5 […]

Read More
 “MADE IN LAGOS” YAFIKISHA ZAIDI YA STREAMS BILLIONI MOJA

“MADE IN LAGOS” YAFIKISHA ZAIDI YA STREAMS BILLIONI MOJA

Album ya msanii WizKid kutoka Nigeria, “Made in Lagos” Deluxe Edition iliyotoka Agosti 27 mwaka huu yenye hitsong kama Essence Remix, imefanikiwa kufikisha jumla ya streams Bilioni Moja. Made in Lagos” imefikisha jumla ya streams hizo ikiwa ni mjumuisho wa streams zote za (Deluxe Edition) katika Platform mbalimbali za muziki duniani kama Apple Music (millioni […]

Read More