Entertainment

ZUCHU AWEKA HISTORIA BOOM PLAY KUPITIA “I’AM ZUCH EP”

ZUCHU AWEKA HISTORIA BOOM PLAY KUPITIA  “I’AM ZUCH EP”

Extended Playlist ya I’AM ZUCHU kutoka kwa mwanamuziki wa Bongofleva Zuchu imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams Million 100′ katika digital platforms zote za kuuza na kusikiliza kazi za muziki.

EP hiyo ambayo ndio ya kwanza kwa Zuchu katika safari yake ya muziki, ilitoka Aprili, mwaka 2020 ikiwa na jumla ya nyimbo saba ambazo aliwapa mashavu wasanii wawili pekee kusikika kwenye EP hiyo ambao ni Mbosso na Khadija Kopa ambaye ni Mama yake mzazi.

Utakumbuka Zuchu alitambulishwa rasmi kujiunga na lebo ya WCB, Aprili 8, mwaka 2020, ndiye msanii wa kwanza WCB kutambulishwa kwa mtindo wa kuachia EP, wenzake hawakupata bahati hiyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *