Muonekano wa Zuchu Wazua Tetesi za Ujauzito Mtandaoni

Muonekano wa Zuchu Wazua Tetesi za Ujauzito Mtandaoni

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Zuchu amezua gumzo mitandaoni baada ya kudaiwa kuwa ni mjamzito, kufuatia muonekano wake katika hafla ya Siku ya Wapendanao Duniani aliyohudhuria akiwa na mume wake, Diamond Platnumz. Katika picha na video zilizosambaa mtandaoni, baadhi ya mashabiki wamedai kuona mabadiliko katika mwonekano wa msanii huyo, jambo lililochochea uvumi kuwa huenda […]

Read More
 Zuchu Aiwakilisha Tanzania Katika Filamu ya Iyabo Ojo

Zuchu Aiwakilisha Tanzania Katika Filamu ya Iyabo Ojo

Msanii nyota wa muziki kutoka Tanzania, Zuchu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaoonekana katika filamu mpya ya kimataifa ya muigizaji maarufu wa Nigeria, Iyabo Ojo, inayofahamika kwa jina la “The Return of Arinzo.” Ushiriki wa Zuchu katika filamu hiyo umeibua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wake, wengi wakisubiri kwa hamu kuona namna atakavyojitokeza katika ulimwengu wa filamu za […]

Read More
 Zuchu Amzuia Shabiki Kumkumbatia Diamond Kisa Wivu wa Mapenzi

Zuchu Amzuia Shabiki Kumkumbatia Diamond Kisa Wivu wa Mapenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva Zuchu amezua mjadala mitandaoni baada ya kuonekana akimzuia shabiki wa kike aliyekuwa akitaka kumkumbatia mume wake, Diamond Platnumz, wakati akiwa location kwenye video shoot ya wimbo wao uitwao Inama. Kwa mujibu wa video inayosambaa mitandaoni, Zuchu alionekana awali akizungumza na shabiki huyo kwa utulivu. Hata hivyo, hali ilibadilika pale shabiki […]

Read More
 Zuchu: Sipo Kwenye Mashindano ya Muziki

Zuchu: Sipo Kwenye Mashindano ya Muziki

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ameonyesha wazi kukerwa na kitendo cha mashabiki na wadau wa tasnia ya muziki wanaoendelea kumshindanisha na wasanii wengine mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Story, Zuchu amechapisha ujumbe wa kimafumbo uliodhihirisha msimamo wake kuhusu mashindano ya kisanii. Katika ujumbe huo, amesisitiza kuwa yupo kwenye safari yake binafsi ya […]

Read More
 Zuchu Amkingia Kifua Diamond Kufuatia Madai ya Kuvuliwa Ubalozi wa Pepsi

Zuchu Amkingia Kifua Diamond Kufuatia Madai ya Kuvuliwa Ubalozi wa Pepsi

Mwanamuziki wa Bongofleva Zuchu ameibuka na kukanusha vikali madai yaliyoenea mtandaoni kwamba mume wake Diamond Platnumz amevuliwa wadhifa wake wa ubalozi wa Pepsi kutokana na kuhusishwa na siasa za CCM. Katika ufafanuzi wake, Zuchu ameeleza kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote, akisema zimetengenezwa na watu wanaotaka kupotosha umma lakini pia kutafuta kiki mtandaoni. Hitmaker huyo […]

Read More
 Zuchu Aomba Amani Baada ya Ghasia Tanzania

Zuchu Aomba Amani Baada ya Ghasia Tanzania

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, amevunja ukimya wake kufuatia taarifa za ghasia zilizoibuka nchini Tanzania baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambazo zimeripotiwa kusababisha vifo vya baadhi ya wananchi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu ameomba Mungu aihifadhi Tanzania na kuijaalie amani, umoja na upendo, akionekana kuguswa na machafuko yanayoripotiwa katika baadhi ya […]

Read More
 Zuchu Apokea Malipo Yake ya Show ya Fainali za CHAN Kenya

Zuchu Apokea Malipo Yake ya Show ya Fainali za CHAN Kenya

Staa wa muziki kutoka WCB, Zuchu, hatimaye amethibitisha kupokea malipo yake ya onyesho alilolifanya katika fainali za Mashindano ya CHAN yaliyofanyika nchini Kenya. Kupitia ukurasa wake wa Instastory, Zuchu aliandika kuwa anashukuru mashabiki na watu wote waliowezesha ujumbe wake kufika kwa mashirika husika. Alisema kuwa tayari amepokea malipo yake yote na sasa anaendelea mbele na […]

Read More