Eliud Kipchoge Kukutana Tena na Kenenisa Bekele Kwenye Marathoni ya New York

Eliud Kipchoge Kukutana Tena na Kenenisa Bekele Kwenye Marathoni ya New York

Mwanariadha mashuhuri wa Kenya, Eliud Kipchoge, anatarajiwa kukutana tena na mpinzani wake wa muda mrefu Kenenisa Bekele kutoka Ethiopia kwenye mbio za Marathoni za Jijini New York zitakazofanyika tarehe 2 Novemba mwaka huu. Bekele, ambaye ni mmoja wa wanariadha bora wa mbio za masafa marefu katika historia, amejumuishwa kwenye orodha ya washiriki akichukua nafasi ya […]

Read More
 Ringtone Apatwa na Kizaazaa Baada ya Tiktoker Kuvuruga Huduma ya Mahubiri Mtandaoni

Ringtone Apatwa na Kizaazaa Baada ya Tiktoker Kuvuruga Huduma ya Mahubiri Mtandaoni

Msanii wa nyimbo za injili, Ringtone Apoko, amejipata katika hali ya sintofahamu baada ya tukio lisilo la kawaida kutokea wakati wa huduma yake ya mahubiri kupitia TikTok Live. Kwa mujibu wa video iliyosambaa mtandaoni, msanii huyo alikuwa akihubiri na kuwasihi wafuasi wake kumrudia Mwenyezi Mungu, wakati ghafla Tiktoker mmoja mrembo aliingilia kati matangazo hayo ya […]

Read More
 Msanii Dyana Cods Afichua Idadi ya Ngoma Kwenye Albamu Yake Mpya

Msanii Dyana Cods Afichua Idadi ya Ngoma Kwenye Albamu Yake Mpya

Msanii kutoka nchini Kenya, Dyana Cods, ameweka wazi idadi ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dyana amewajulisha mashabiki wake kuhusu ujio wa albamu hiyo, akisema kuwa itakuwa na ngoma 16 za moto, huku akimalizia chapisho lake kwa hashtag #GhettoGirl, ikionekana kuwa huenda ndilo jina […]

Read More
 Msanii Pipi Jojo Aangua Kilio Baada ya Chief Godlove Kumkimbia

Msanii Pipi Jojo Aangua Kilio Baada ya Chief Godlove Kumkimbia

Msanii wa Chief Godlove, anayefahamika kwa jina la Pipi jojo, ameangua kilio hadharani baada ya kugundua kwamba ataanza ziara yake ya vyombo vya habari nchini Kenya bila ushirika wa meneja wake huyo maarufu. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Pipijojo ameonekana akibubujikwa na machozi huku Chief Godlove akimfariji na kumtia moyo kabla ya safari yake. Katika ujumbe […]

Read More
 Justina Syokau Aonyesha Upendo kwa Hayati Raila Odinga kwa Kunyoa Nywele Zake

Justina Syokau Aonyesha Upendo kwa Hayati Raila Odinga kwa Kunyoa Nywele Zake

Mwanamuziki wa injili kutoka nchini Kenya, Justina Syokau, ameonyesha ishara ya heshima na upendo kwa hayati Raila Odinga kwa kunyoa nywele zake zote. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Syokau aMEposti video akiwa saloon akinyolewa nywele na kueleza kuwa aliamua kufanya hivyo ili kumheshimu na kumuomboleza Baba Raila Odinga. Lakini pia amebainisha kuwa amerekodi wimbo maalum […]

Read More
 Msanii wa Uganda Olisha M Afariki Dunia Wakati wa Kujifungua

Msanii wa Uganda Olisha M Afariki Dunia Wakati wa Kujifungua

Tasnia ya muziki nchini Uganda imo kwenye majonzi kufuatia kifo cha mwanamuziki Olisha M, aliyeripotiwa kufariki jana jioni wakati wa kujifungua katika hospitali moja maarufu jijini Kampala. Olisha M, anayejulikana kwa vibao vyake kama Katambala, Super Love, na Gwenjagala, alikuwa mmoja wa wanamuziki chipukizi waliokuwa wakifanya vyema kwenye muziki wa kizazi kipya nchini humo. Habari […]

Read More
 Instagram yazindua kipengele kipya cha kuchora ndani ya DM

Instagram yazindua kipengele kipya cha kuchora ndani ya DM

Kampuni ya Instagram imeweka mabadiliko mapya katika sehemu ya Direct Messages (DM), ambapo sasa watumiaji wote wanaweza kuchora moja kwa moja kwenye skrini ya mazungumzo. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji anaweza kuchora au kuandika kwa mkono katika sehemu yoyote ya skrini ya DM, na mtu anayewasiliana naye ataweza kuona michoro hiyo papo kwa papo, bila […]

Read More
 KRG The Don Awakosoa Viongozi Kenya Wanaochochea Migawanyiko

KRG The Don Awakosoa Viongozi Kenya Wanaochochea Migawanyiko

Mwanamuziki wa Kenya, KRG The Don, amewakashifu vikali viongozi na wananchi wanaochochea migawanyiko na chuki miongoni mwa Wakenya. Kupitia ujumbe aliouchapisha mitandaoni, KRG amesema kuwa ni aibu kwa viongozi na raia wanaofurahia au kuchangia mgawanyiko wa kitaifa badala ya kuhimiza umoja na mshikamano. Msanii huyo ameeleza kuwa taifa haliwezi kusonga mbele endapo Wakenya wataendelea kugawanyika […]

Read More
 Eric Omondi Asema Kuzaliwa kwa Kenya Mpya Ni Jambo Lisilozuilika

Eric Omondi Asema Kuzaliwa kwa Kenya Mpya Ni Jambo Lisilozuilika

Mchekeshaji na mwanaharakati wa kijamii Eric Omondi amesema kuwa kuzaliwa kwa Kenya mpya ni jambo lisiloweza kuzuilika, akieleza kuwa kizazi kipya kinachojitokeza sasa ni cha Wakenya wasioangalia ukabila, bali umoja na mabadiliko. Kupitia ujumbe wake Instagram, Omondi amesema kuwa “The birth of a new Kenya is inevitable”, akisisitiza kuwa taifa la Kenya linaingia katika kipindi […]

Read More